Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

Mimi sijui Mungu kanipa udongo gani..nikikutajia umri wangu na umbo langu unaeza sema nadanganya ..umbo langu ni kama kijana wa 25 ila huo umri sasa mmmmh
Ukiwa tipwa tipwa na vitambi lazima uzeeke chap..

Kuna ka brother kangu nika maestro umri wa kukimbizaa sungura na usheee Ila ukikaona Ni Kama katoto la form two πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ila hili suala la wanawake kuzeeka mapema ni kweli aisee.
Sasa sijui sababu ni ipi.
 
Kundi ambalo linachelewa kuzeeka ni waalimu,, nadhani ile kufundisha wamesimama zoez tosha,,

Hizi kazi unakula kiyoyozi chapati tatu na misupu,, lazima uchoke,,

Lakin pia inategemea na udongo
Ha ha haaaa. Juzi nilikutana na mwanfunzi wangu mmoja, akaniambia teacher hebu zeeka mana unaonekana km sie wanafunzi wako. Mie kati ya watu 100 basi 90 wanakosea kunikisia umri yena wengine wananishusha kwa tofauti ya miaka ht 20 😊
 
Shida nazo zinazeeka,na kufuga mwili hovyo.
Siku moja jamaa yangu alimsalia sista alitemwacha madarasa mawili nyuma alimsahau anasema eti amekuwa mmama
 
Unajitunza, unakula inavyotakiwa, hujatumika sana🀣, una nidhamu ya maisha. Sie tuliachia miili tumekwishaaa🀣🀣
 
Hayo ni mawazo ya wavulana hakika nakwambia
Wengine wanasema wanawake huwa wanaanza kupoteza hamu kwenye kushiriki tendo mapema, yaani mwanaume mwenye miaka 50 ana uhitaji zaidi kuliko ambavyo mwanamke wa umri huo anaweza ku provide kama ni mke na mume.

Hivyo ni moja ya sababu wanaume kuoa wanawake waliowazidi.
 
Secondary 2006 hadi 2010. Mlirudia wote form two?
 
Tunafukia kila kitu kwa nini tusiwe mishangaz
Tena tipwatipwa,, unakutana naclassmet anakuambia wewe huo mwili wa secondary huongezeki?, unabaki unasema hihiiiii, watu wanabadlika asee, wengine hataaaaa
 
Mimi nilikua slim...mwembamba sinenepi sabb ya stress za kusoma na kuogopa ku fail...pia kua na mizigo mingi moyoni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜Š

Watu wote nilipo onana nao miaka m5 recently wamenishangaa Sanaa sanaaa hakuna mtu mwembamba Ila Kuna mfupi na mrefu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜…
 
Shida nazo zinazeeka,na kufuga mwili hovyo.
Siku moja jamaa yangu alimsalia sista alitemwacha madarasa mawili nyuma alimsahau anasema eti amekuwa mmama
Ni kwelii kaka skilastika....ma ant aging ndio habari ya mjini kwa sasa.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚zinafanya kazi kweliii
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Umenikumbusha wakati flan nilimuuliza mjapani mmoja anawezaje kutofautisha ndugu zake because naona wote wamefanana

Na yeye akanambia hata wao wanapata shida kututofautisha Sisi watu weusi wanatuona wote tumefanana
 
2010 juzi tu leo kazeeka? Sosi tulikuwa secondary 1996 na tuliosoma nao ukiwaangalia wanatongozea? It is all about life style na nizamu ya kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…