Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.

Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
 
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Sema mimi nimekuelewa!!
 
Kanisa halitazuiwa na Mbwembwe zenu mnazozifanya .

Maandamano yako palepale .
 
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Ulivyo mpumbavu, unakiri kabisa kuhusu Utekaji na Mauaji, alafu hapohapo hatutaki watu wapiganie haki zao

Hilo Bichwa umejaza matope eeehh
 
Hivi hamjui ukristu na uislamu ni vita iliyo kwa ukaribu kwa Tanzania kuliko hata vita za kikabila na majirani zake..

Ina maana viongozi wetu hawalioni hili

Hata hivyo wacha niwaache wafu mzikane
 
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.

Hupendi haki kulindwa?
 
Tulinde Amani ipi wakati haipo watu wanatekwa na watumishi wa Mungu wanapotezwa na makanisa kufungwa sisi wanyonge tunamwachia Mungu tu!!!
 
Back
Top Bottom