Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

"Amani ni tunda la haki. Haki huzaa amani"

Kuna popote umetamka "haki" kwenye bandiko lako? Kwanini haki mnaiogopa mno hadi kujifanya hamuijui?

Subiri tulinde kwanza amani dhidi ya hawa nyumbu wanaotaka kuchafua nchi
 
Amani mnayozungumzia ni ukimya wa wananchi wanao onewa na serikali.
Hio si amani.

You cant separate peace from freedom because no one can be at peace unless he has his freedom ~ Malcom X.
Tumeshawaahidi Katiba mpya. Ipo kwenye Ilani. Mwataka nini kama si shari
 
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.

Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Unaandika huku mshipa wa kalio unakutetemeka!
 
Waislamu mna nishangaza sana wapuuzi nyie...

Yaani mnajifanya kuitetea hii serikali huku mkitumia victim card ya udini, halafu wakati huo huo mnafanya propaganda chafu na chonganishi kwa waumini wa dini ya kikristu na viongozi wao.

Ni jambo ambalo liko wazi huu utawala wa Samia wakristu tunanyanyaswa sana kwanzia raia wa kawaida mpaka viongozi wetu, ila nyie wavaa kobazi ambao ni machawa wa samia mnalazimisha ionekane ni kinyume chake kuwa Samia ndio anaonewa na viongozi wa dini wakristo.

Halafu mlivyokosa akili mara nyingi kwenye maelezo yenu huwa mnakili bila kujua kuwa serikali ndio inahusika na matukio ya utekaji ya viongozi wa dini.

Tangu uhuru hatujawahi kuwa na serikali ambayo ni tishio kwa viongozi wa dini wakristo kama hii, samia ndio raisi wa kwanza kufungia makanisa na kuwawinda wachungaji mpaka wakaamua kukimbia nchin.
 
L
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.

Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
loh! Kumbe wewe huna akili timamu? Uljiungaje humu? Forum hii ni kwaajili ya wenye akili timamu, siyo wagonjwa wa akili.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuyanena hayo uliyoyasema wewe?

Hivi kuteka na kuua au kuwapoteza watu, ni amani? Hali ya sasa haistahili kulindwa na yeyote, maana ni hali ya hatari, ya kutisha na ya kishetani kabisa. Inatakiwa hali hii iondolewe, itakapopatikana haki na amani, sote tuilinde kwa nguvu zote kuzuia kabisa uwezekano wa mashetani kuturudisha kwenye hali mbaya ya kishetani kama ya sasa, ya kuteka, kuua, kupoteza na dhuluma za kiwango cha ajabu dhidi ya haki.
 
Subiri tulinde kwanza amani dhidi ya hawa nyumbu wanaotaka kuchafua nchi

Kwamba muwafwile, muwauwe, muwateke na wakae kwa kutulia tu? Au?

G3PBM-yWgBM7MJQ.jpeg
 
Ulivyo mpumbavu, unakiri kabisa kuhusu Utekaji na Mauaji, alafu hapohapo hatutaki watu wapiganie haki zao

Hilo Bichwa umejaza matope eeehh
Hawa wengi wanapenda hayo yanayoitwa maandamano yatokee.
Wengi wenu hamuwezi kusoma between the lines.
Lakini ukweli ni kuwa hayatatokea.
 
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.

Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Totally rubbish
 
Hivi hamjui ukristu na uislamu ni vita iliyo kwa ukaribu kwa Tanzania kuliko hata vita za kikabila na majirani zake..

Ina maana viongozi wetu hawalioni hili

Hata hivyo wacha niwaache wafu mzikane
Nani atakanya aya kwa sasa Taifa halina God father kama ilivyokuepo Mkapa
 
Back
Top Bottom