Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

"---nia ovu", wamewateka na kuwaua waTanzania wangapi?
Hao ambao wewe unataka waungwe mkono huoni kuwa "wanaiharibu nchi"; au kuharibu nchi kwako kuna maana gani?

Nini maana ya "AMANI" Kuteka na kuua watu ndiyo amani kwenye misamiati yenu?

Na bado! Sipo hapa kujibu maswali ya nyumbu. Tutalinda Amani
 
Mpuuzi wee usihusishe makanisa na siasa zenu za kindezi. Nani kakuambia makanisa ni asasi za kisiasa kenge we? Wakristo ni raia kama raia wengine na wana utashi wao binafsi wa kushiriki kupiga kura au kutokupiga
 
Na bado. Mnafikiri hatujui mnayoyapanga
 
Jitekenyeni
 
Wachochezi ni hayo makanisa kutwa kutoa matamko ya kisiasa.
tamko gani kanisa limetoa, mbona nchi iko shwari na kampeni za wagombea zinafanyika vema tu. Msipende kulihusisha kanisa na siasa. Mmekosa chama cha siasa cha kulitupia zigo mkaona mlitupie kanisa zigo hilo. Kanisa na siasa wapi na wapi?
 
Na bado!
 
Tumeshawaahidi Katiba mpya. Ipo kwenye Ilani. Mwataka nini kama si shari
Jitahidi kupangusa kamasi kwenye ubongo wako kijana. Katiba ya nchi ni takwa la wananchi na siyo hisani ya ccm kuwawekea wananchi kwenye hicho kijuzuu chenu mnachoita ilani. Pumbavu mkubwa wewe!
 
Jitahidi kupangusa kamasi kwenye ubongo wako kijana. Katiba ya nchi ni takwa la wananchi na siyo hisani ya ccm kuwawekea wananchi kwenye hicho kijuzuu chenu mnachoita ilani. Pumbavu mkubwa wewe!

Ccm ni wananchi pia. Upo
 
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.

Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Pumbavu kabisa. Huna akili na huna utu
 
L

loh! Kumbe wewe huna akili timamu? Uljiungaje humu? Forum hii ni kwaajili ya wenye akili timamu, siyo wagonjwa wa akili.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuyanena hayo uliyoyasema wewe?

Hivi kuteka na kuua au kuwapoteza watu, ni amani? Hali ya sasa haistahili kulindwa na yeyote, maana ni hali ya hatari, ya kutisha na ya kishetani kabisa. Inatakiwa hali hii iondolewe, itakapopatikana haki na amani, sote tuilinde kwa nguvu zote kuzuia kabisa uwezekano wa mashetani kuturudisha kwenye hali mbaya ya kishetani kama ya sasa, ya kuteka, kuua, kupoteza na dhuluma za kiwango cha ajabu dhidi ya haki.
Well said ndugu. Yametufika shingoni. Lazma tutoke ndio tutaelewana. Watu wanafikiri nchi hii ni mali ya familia. Tutawaonyesha kuwa nchi hii ni mali ya kila Mtanzania.
 
Ona jinga hili. Unasema kulinda Amani halafu unasema na bado.

Hivi mnajiona akina nani?
 
Back
Top Bottom