Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.

Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.

Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Hii ingekuwa njema sana lakini hakuna jambo kama hili linaweza tokea. TEC ni taasisi ya wasomi lazima wameshafanya tathimini ya utawala uliopo na hawako tayari kupeleka watu mbele wakauawe

Na hakuna hata siku moja utakaa usikie TEC wanaongoza maandamano dhidi ya serikali labda kwa ajili ya kuabudu sakrament takatifu. Never ever kitu kama hicho kutokea chini ya Catholic
 
Kanisa toka mwanzo haliendani na masuala ya utekaji uvamizi kunyima haki. Na kama unasali kila.jumapili kunakuwaga na madongo yanarushwa ki philosophy kupinga yanaoendelea. Hawajaanza wiki ya.mwisho ni toka magufuli afe
 
Back
Top Bottom