The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Waambieni wakae kimya Tuu.
Ikiwezekana Wafungeni nao muwaweke ndani, Chukueni na Viongozi wa Chadema Wawekeni ndani.
Ili maandamano yakianza yasiwe ya CHADEMA, TEC wala waislamu. Haya yatakua maandamano ya Wananchi wote wanao dai haki zao