October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mlimeza upupu sasa unawawasha akili. Na bado ikurudie mwenyewe.
Kaa kwa kutulia kama unajua hatutafanikiwa kwanini kutwa kumeza betri ku power hiyo radio yako mbovu...Hamtafanikiwa walahi! Bagonza na wenzake haya
Na badoKaa kwa kutulia kama unajua hatutafanikiwa kwanini kutwa kumeza betri ku power hiyo radio yako mbovu...
Sema mimi nimekuelewa!!Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Na bado kweli, saivi utameza betri ya gari N70 itakutosha.Na bado
Kanisa halitazuiwa na Mbwembwe zenu mnazozifanya .Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Ulivyo mpumbavu, unakiri kabisa kuhusu Utekaji na Mauaji, alafu hapohapo hatutaki watu wapiganie haki zaoMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Wengine tutapigaKATOLIKI HATUTAPIGA KURA OVA
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Tulinde Amani ipi wakati haipo watu wanatekwa na watumishi wa Mungu wanapotezwa na makanisa kufungwa sisi wanyonge tunamwachia Mungu tu!!!Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi ya mapadri, viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Haki ganiHupendi haki kulindwa?
Umeishamalizana na Mr. Tabasamu? Maana naona una mambo mengi sana ya kufanya!Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Wanahusiana hujui loloteUmeishamalizana na Mr. Tabasamu? Maana naona una mambo mengi sana ya kufanya!
Haki gani