PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.

Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Kabisaa
 
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.

Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.

Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.

Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.

Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.

Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.

Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani

Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Ndiyo muwaambie TEC waache kiherehere na siasa,wajikite kuwanawirisha kondoo kiimani
Wao wenyewe miongoni mwao Wana matendo ya kishetani kama kuua albino,kubashiri(kubet) na kuwa na mahawara,ila wameshupaa na siasa wamesahau jukumu lao
 
Lawama zote zielekezwe kwa mbogamboga.
Viongozi wengi wa dini ni njaa tu zinawasumbua. Wanatumia dini kuwa karibu na viongozi wa serikali walio na imani na dini zao ili kupata favor. Mashehe waganga njaa wanamtumia samia na kikwete kama opportunity, maskofu njaa wa KKKT wataanza kumtumia Mwigulu kutaka favor. Mapadre njaa wataanza kujikomba kwa Nchimbi ili wapate viti vya mbele serikalini.
Lakini wananchi wa kawaida wameshujua huo udhaifu wa viongozi wetu wa dini na wala hawana taimu nao. Wao wanataka haki katika utawala basi.
 
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.

Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.

Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.

Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.

Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.

Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.

Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani

Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Hapana wananchi wa sasa sio wajinga wanajua migogoro na vyanzo vyao unafikiri waislam hawajui kuwa wale mashekhe ubwabwa wamehongwa kufanya vile?
 
Sema kuna WAPUUZi wachache wana ka alama ka udini,wanapayuka na kuropoka..WASHINDWE!!
 
Umesikia askofu yeyote wa TEC akiitaja BAKWATA ama kuisakama?

Hao mashehe tena wa BAKWATA tu ndiyo bomu.
 
Viongozi wengi wa dini ni njaa tu zinawasumbua. Wanatumia dini kuwa karibu na viongozi wa serikali walio na imani na dini zao ili kupata favor. Mashehe waganga njaa wanamtumia samia na kikwete kama opportunity, maskofu njaa wa KKKT wataanza kumtumia Mwigulu kutaka favor. Mapadre njaa wataanza kujikomba kwa Nchimbi ili wapate viti vya mbele serikalini.
Lakini wananchi wa kawaida wameshujua huo udhaifu wa viongozi wetu wa dini na wala hawana taimu nao. Wao wanataka haki katika utawala basi.
Huo ndio ukweli, viongozi wa dini ni kama takataka zilizooza dampo.
 
Na wewe uliyekuja na hili bandiko unasaidia kusambaza udini.

Waislam na wakristo ni wamoja na hatutakaa tugawanywe.....l
 
Kabisa.

Mimi ni muislamu ila hao mashehe ubwabwa ni CCM.

Wengi wanaipigania CCM sio waislamu wenzao wala wananchi wengine.

Hao dawa yao ni kuwatembelea 9D.
Wapelekewe ubwabwa wa kutosha siku hiyo
 
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.

Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.

Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.

Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.

Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.

Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.

Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani

Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Hamna kitu icho mimi nimeoa muislam huwezi kubagua muislam na mkristu kwa Tanzania kwa sasa.
 
Umesahau tu kusema kuwa TEC ndiyo sababu kuu ya haya yanayoendelea.......Mungu atatuepusha.
 
Nafasi zimejaa subiri mwakani safari hii ni kwa familia kwanza
 
Attachments

  • samia-suluhu-hassan-1.jpg
    samia-suluhu-hassan-1.jpg
    35.8 KB · Views: 22
  • 1763385516644.png
    1763385516644.png
    1.1 MB · Views: 26
Udini na ukabila hauwezi kuwepo Tanzania hii labda watoto wadogo awaambie. Hili nchi haiwezi kuingia vitani nakuhakikishia maisha
 
Mimi naona mpasuko huo unatengenezwa na serikali ili kuwafanya Watanzania wasiwe united against it! Ni divide n Rule!
Hasa kwenye kipindi hiki ambacho Serikali imeleta maafa kufuatia uchaguzi haramu.
Badala ya Watanzania kujadili maafa yaliyotokea ni kurumbana tu.
Siyo muda mrefu kilichotokea oct.29-31 watanzania tutasahau!
 
Wanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.

Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Ni kweli sahivi hadi watu wanaoana dini tofauti
 
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.

Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.

Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.

Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.

Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.

Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.

Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani

Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.

Hiyo hofu inatengenezwa na watawala haipo kiuhalisia
Waislamu na wakristo wenye akili hawana bifu la udini
 
Attachments

  • 04d7d2f06df470dad81ab5a74b064bad.mp4
    2 MB
  • a552883d98d9c2d0d6ece99a2de39084.mp4
    12.9 MB
Back
Top Bottom