PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndiyo muwaambie TEC waache kiherehere na siasa,wajikite kuwanawirisha kondoo kiimani
Wao wenyewe miongoni mwao Wana matendo ya kishetani kama kuua albino,kubashiri(kubet) na kuwa na mahawara,ila wameshupaa na siasa wamesahau jukumu lao
 
Wanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.

Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Naam mtaani pako poa kabisa tunapena mapande
 
Bakwata ndio wanaleta haya mambo. Wanashindwa kuongelea hoja za msingi wanakazana na udini.
1763396176943.jpeg
 
Wanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.

Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Kweli kaka yaani wale wapuuzi wachache hawawezi fanya nimchukie ndugu yangu kisa sio muislam
Wale wako kwa maslahi yao pale
 
Ndiyo muwaambie TEC waache kiherehere na siasa,wajikite kuwanawirisha kondoo kiimani
Wao wenyewe miongoni mwao Wana matendo ya kishetani kama kuua albino,kubashiri(kubet) na kuwa na mahawara,ila wameshupaa na siasa wamesahau jukumu lao
Wajaa chuki nyie sababu hamna akili. Trump aliwachana wajumbe wa Kiarabu kule Saudia kuwa Mnachukia wasio waislam live bila chenga. Ndio maana Israel anawatwangeni na Allah wenu hana la Kufanya
 
Me Sinaona mpasuko wowote mjinga anapimwa kwa maneno yako.
 
Wajaa chuki nyie sababu hamna akili. Trump aliwachana wajumbe wa Kiarabu kule Saudia kuwa Mnachukia wasio waislam live bila chenga. Ndio maana Israel anawatwangeni na Allah wenu hana la Kufanya
Yaani Trump ndiyo rejea yako!!..saudia kuna wakristo wengi wanafanya kazi, UAE kuna wasio waislam wengi kuliko waislam
 
Ndio maana tunasema lile shetani la kizanzibar pale juu halina sifa ya uongozi hata moja.

Angekuwa ni mtu mwenye akili na charisma ya uongozi, zamani sana angekuwa ameshaliona hili na kulifanyia kazi.

Taifa kama hili ambalo kiasili ni secular nation, linahitaji strong unification kwa watu wa dini zote, hautakiwi uruhusu hata nyufa tu itokee.

Ila sasa yule muuaji ameruhusu mpaka tumefika hatua hii hajawahi hata kuiongelea hii hali, halafu dizain kma ananufaika nayo kwa upande mwingine.

Huyu zimwi anayenuka damu za watu hana sifa hata za kuongoza nyumba kumi.
 
Bakwata ndio wanaleta haya mambo. Wanashindwa kuongelea hoja za msingi wanakazana na udini.
We mgalatia onyesha tamko lolote la Bakwata linaloleta uchochezi wa kidini nchini ili tuone kweli umesema la maana hapa.
Acheni unafiki nyie makafiri.
Umeona tamko la TEC?
Umeona matamko mangapi ya maaskofu na wachungaji yaliosababisha mauwaji hapa nchini? Je Umeona waislamu wakisema hawa wala vitimoto washughulikiwe?

Acheni unafiki na uchonganishi sababu siku ikitokea fujo ya dini hapa nchini nyie ndio mtakaokuwa wa kwanza kwenye boti kukimbia.
 
Viongozi wengi wa dini ni njaa tu zinawasumbua. Wanatumia dini kuwa karibu na viongozi wa serikali walio na imani na dini zao ili kupata favor. Mashehe waganga njaa wanamtumia samia na kikwete kama opportunity, maskofu njaa wa KKKT wataanza kumtumia Mwigulu kutaka favor. Mapadre njaa wataanza kujikomba kwa Nchimbi ili wapate viti vya mbele serikalini.
Lakini wananchi wa kawaida wameshujua huo udhaifu wa viongozi wetu wa dini na wala hawana taimu nao. Wao wanataka haki katika utawala basi.
Utakuwa hujui maPadre ni kina nani.
 
Back
Top Bottom