KabisaaWanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.
Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Ndiyo muwaambie TEC waache kiherehere na siasa,wajikite kuwanawirisha kondoo kiimaniKuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.
Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.
Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.
Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.
Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.
Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani
Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Viongozi wengi wa dini ni njaa tu zinawasumbua. Wanatumia dini kuwa karibu na viongozi wa serikali walio na imani na dini zao ili kupata favor. Mashehe waganga njaa wanamtumia samia na kikwete kama opportunity, maskofu njaa wa KKKT wataanza kumtumia Mwigulu kutaka favor. Mapadre njaa wataanza kujikomba kwa Nchimbi ili wapate viti vya mbele serikalini.Lawama zote zielekezwe kwa mbogamboga.
Hapana wananchi wa sasa sio wajinga wanajua migogoro na vyanzo vyao unafikiri waislam hawajui kuwa wale mashekhe ubwabwa wamehongwa kufanya vile?Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.
Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.
Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.
Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.
Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.
Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani
Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Huo ndio ukweli, viongozi wa dini ni kama takataka zilizooza dampo.Viongozi wengi wa dini ni njaa tu zinawasumbua. Wanatumia dini kuwa karibu na viongozi wa serikali walio na imani na dini zao ili kupata favor. Mashehe waganga njaa wanamtumia samia na kikwete kama opportunity, maskofu njaa wa KKKT wataanza kumtumia Mwigulu kutaka favor. Mapadre njaa wataanza kujikomba kwa Nchimbi ili wapate viti vya mbele serikalini.
Lakini wananchi wa kawaida wameshujua huo udhaifu wa viongozi wetu wa dini na wala hawana taimu nao. Wao wanataka haki katika utawala basi.
Kuna Masheikh Ubwabwa na Wachungaji Ubwabwa kina Mwamposa
Wapelekewe ubwabwa wa kutosha siku hiyoKabisa.
Mimi ni muislamu ila hao mashehe ubwabwa ni CCM.
Wengi wanaipigania CCM sio waislamu wenzao wala wananchi wengine.
Hao dawa yao ni kuwatembelea 9D.
Hamna kitu icho mimi nimeoa muislam huwezi kubagua muislam na mkristu kwa Tanzania kwa sasa.Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.
Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.
Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.
Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.
Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.
Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani
Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Umesahau tu kusema kuwa TEC ndiyo sababu kuu ya haya yanayoendelea.......Mungu atatuepusha.Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu.
Kwa sasa viongozi wa dini wamegawanyika vibaya kila upande unavuta kwake, kila mmoja anapigania ajenda yake, na hakuna sauti ya pamoja kama zamani. Na tukiamua kuyapuuzia haya, muelekeo wa nchi hauko pazuri kabisa. Tusishangae kuona mgogoro mkubwa wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu ukianza kuota mizizi na ukapelekea umwagaji mkubwa wa damu hapa nchini.
Wakati hayo yote yanatokea, wanasiasa wako bize kupigania nafasi, mamlaka na maslahi yao. Kwao, hali ni mbaya kisiasa, hivyo hawana muda wala nguvu ya kusimamia utulivu wa nchi. Kwao mivutano ya dini kwa sasa They take kama advantage kwao ili waendelee kuaminika kwa jamii.
Matokeo yake sasa Viongozi wa dini wameachwa wajitume kivyao bila mwongozo, bila mwelekeo, bila utulivu.
Ninachojiuliza kwanini Serikali imeshindwa kabisa kutuliza hali hii? Joto linapanda kila siku, presha mtaani imefika mbali, na watu wanaanza kugawanyika waziwszi kwa misingi ya kidini na kimadhehebu.
Kwa mwendo huu, taifa linaelekea kugawanyika vipande vipande muda si mrefu, na kama kawaida,wataoumia ni wale wale Masikini, Wasio na mtetezi, Wale wanaotaka tu kuishi kwa amani
Nina wasiwasi sana na hali ya usalama kuanzia sasa na siku za baadae hapa Tanzania.
Nafasi zimejaa subiri mwakani safari hii ni kwa familia kwanzaUmesahau tu kusema kuwa TEC ndiyo sababu kuu ya haya yanayoendelea.......Mungu atatuepusha.
Sihitaji uteuzi kusema ukweli, nahitaji kinywa tu na akili huru.Nafasi zimejaa subiri mwakani safari hii ni kwa familia kwanza
Ni kweli sahivi hadi watu wanaoana dini tofautiWanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.
Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.