Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Ndiyo muwaambie TEC waache kiherehere na siasa,wajikite kuwanawirisha kondoo kiimani
Wao wenyewe miongoni mwao Wana matendo ya kishetani kama kuua albino,kubashiri(kubet) na kuwa na mahawara,ila wameshupaa na siasa wamesahau jukumu lao
Naam mtaani pako poa kabisa tunapena mapandeWanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.
Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Bakwata ndio wanaleta haya mambo. Wanashindwa kuongelea hoja za msingi wanakazana na udini.
Kweli kaka yaani wale wapuuzi wachache hawawezi fanya nimchukie ndugu yangu kisa sio muislamWanavutana hao viongozi wa dini Kwa maslahi yao, huku mtaani wananchi Wala hawana hizo chuki za kidini.
Wakristo Kwa Waislamu bado wanaishi kama ndugu, ni ngumu jamii yetu kubaguana kisa dini, tayari Misingi ya undugu imefika mbali.
Wajaa chuki nyie sababu hamna akili. Trump aliwachana wajumbe wa Kiarabu kule Saudia kuwa Mnachukia wasio waislam live bila chenga. Ndio maana Israel anawatwangeni na Allah wenu hana la KufanyaNdiyo muwaambie TEC waache kiherehere na siasa,wajikite kuwanawirisha kondoo kiimani
Wao wenyewe miongoni mwao Wana matendo ya kishetani kama kuua albino,kubashiri(kubet) na kuwa na mahawara,ila wameshupaa na siasa wamesahau jukumu lao
Yaani Trump ndiyo rejea yako!!..saudia kuna wakristo wengi wanafanya kazi, UAE kuna wasio waislam wengi kuliko waislamWajaa chuki nyie sababu hamna akili. Trump aliwachana wajumbe wa Kiarabu kule Saudia kuwa Mnachukia wasio waislam live bila chenga. Ndio maana Israel anawatwangeni na Allah wenu hana la Kufanya
We mgalatia onyesha tamko lolote la Bakwata linaloleta uchochezi wa kidini nchini ili tuone kweli umesema la maana hapa.Bakwata ndio wanaleta haya mambo. Wanashindwa kuongelea hoja za msingi wanakazana na udini.
Utakuwa hujui maPadre ni kina nani.Viongozi wengi wa dini ni njaa tu zinawasumbua. Wanatumia dini kuwa karibu na viongozi wa serikali walio na imani na dini zao ili kupata favor. Mashehe waganga njaa wanamtumia samia na kikwete kama opportunity, maskofu njaa wa KKKT wataanza kumtumia Mwigulu kutaka favor. Mapadre njaa wataanza kujikomba kwa Nchimbi ili wapate viti vya mbele serikalini.
Lakini wananchi wa kawaida wameshujua huo udhaifu wa viongozi wetu wa dini na wala hawana taimu nao. Wao wanataka haki katika utawala basi.
Dini imevamiwa lo