Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Hii
Duuh
 
Rais amekubatia machawa wakina Mwijaku Baba levo Doto Magari mnategemea nini? Hapendi kuambiwa ukweli hajui kwamba ukweli ni kioo unajitazama na kulekebisha makosa yako Umekata tamaa
Binafsi yangu nataka SAMIA atawale hata kwa miaka 10 mingine,maana hata wakija Marais 5 mbele nothing they can change kwenyw nchi ambayo wananchi wake ni wajinga.
Umekata tamaa
 
U
Acha dharau Kwa mamlaka ya nchi
Ukweli mnaita dharau hapo ndo tunapokosea
 
Hii ilimkuta Magufuri
 
Nakubaliana na wewe kuhusu maandamano, yasifanyike kama ya chama bali ya wananchi. Pia yasitangazwe kuwapa muda polisi kujipanga na yaanza pembezoni mwa nchi mfano yananza Mbeya wakati yakiendelea huko ghafla yanaungwa mkono na Arusha, hivyo Mara, Mwanza kinamna hiyo
 
Exactly
 
Your browser is not able to display this video.
 
Jidanganye. CCM haigawanyiki kipindi cha uchaguzi.
 
unataka ushahidi gani zaidi ya kauli kutoka kinywa chake kwenye post #211?
hiyo kauli umeikata ili uifanyie utakacho,hiyo ni jauli aliyokuwa akielezea nyakati zile jakaya anamuita kumwambia kuwa ccm inamteua kuwa makamu wa rais,wewe unaileta muda huu,mangapi kafanya rais tena makubwa sana
 
Naunga mkono maoni haya

Binafsi niliweka ushauri wangu JF kuhusu rais kuvunja Baraza la Mawaziri na kufanya teuzi mpya.

Lakini kwa kuwa sisi tunaonekana hatuna thamani wala ushauri wacha tusheherrkee kiburi chake.

Anguko lipo mlangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…