Ndio kalogwa ama sivyo kama angekuwa mzima asingekuwa anavaa hijab huku anaua watu!!Kwani Raisi kalogwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kalogwa ama sivyo kama angekuwa mzima asingekuwa anavaa hijab huku anaua watu!!Kwani Raisi kalogwa?
DuuhKama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.

Umekata tamaaBinafsi yangu nataka SAMIA atawale hata kwa miaka 10 mingine,maana hata wakija Marais 5 mbele nothing they can change kwenyw nchi ambayo wananchi wake ni wajinga.
UBinafsi yangu nataka SAMIA atawale hata kwa miaka 10 mingine,maana hata wakija Marais 5 mbele nothing they can change kwenyw nchi ambayo wananchi wake ni wajinga.
Ukweli mnaita dharau hapo ndo tunapokoseaAcha dharau Kwa mamlaka ya nchi
Hii ilimkuta MagufuriHuyu mama ana tatizo la kufikiri
Yeye anadhani Chadema ni adui yake kumbe the real adui ni CCM humo ndani
Hua namshangaa sana
Yaani yeye kwa akili yake anadhani adui yake yeye ni Mbowe na Lissu?Really?
Ngoja aipate sawasawa ndio ataelewa Lissu,Mbowe na Chadema ni wenzake na sio maadui kama anavyodhani
ExactlyNakubaliana na wewe kuhusu maandamano, yasifanyike kama ya chama bali ya wananchi. Pia yasitangazwe kuwapa muda polisi kujipanga na yaanza pembezoni mwa nchi mfano yananza Mbeya wakati yakiendelea huko ghafla yanaungwa mkono na Arusha, hivyo Mara, Mwanza kinamna hiyo
Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
Aise....Umeeleweka sana kwa wenye akili ya kuelewa.
SureRais amekubatia machawa wakina Mwijaku Baba levo Doto Magari mnategemea nini? Hapendi kuambiwa ukweli hajui kwamba ukweli ni kioo unajitazama na kulekebisha makosa yako
Kumbe ndiyo maana nchi iko kwenye auto pilot, alishasema hawezi lakini maccm yakalazimisha ili yapate mwanya wa kuhomola bila gozigozi.
una ushahidi kuwa anaua watu?Ndio kalogwa ama sivyo kama angekuwa mzima asingekuwa anavaa hijab huku anaua watu!!
una ushahidi wa hayo usemayo?Kumbe ndiyo maana nchi iko kwenye auto pilot, alishasema hawezi lakini maccm yakalazimisha ili yapate mwanya wa kuhomola bila gozigozi.
Jidanganye. CCM haigawanyiki kipindi cha uchaguzi.Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
unataka ushahidi gani zaidi ya kauli kutoka kinywa chake kwenye post #211?una ushahidi wa hayo usemayo?
hiyo kauli umeikata ili uifanyie utakacho,hiyo ni jauli aliyokuwa akielezea nyakati zile jakaya anamuita kumwambia kuwa ccm inamteua kuwa makamu wa rais,wewe unaileta muda huu,mangapi kafanya rais tena makubwa sanaunataka ushahidi gani zaidi ya kauli kutoka kinywa chake kwenye post #211?
Naunga mkono maoni hayaKama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.