Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
😃Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...
Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??
Uking’amua hili basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...
Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??
Uking’amua hili basi
actually,Wapi comment za watani zangu
Tlaatlaah
johnthebaptist
choice variable
Na sio kwa umuhimu
Lucas Mwashambwa
Amka usingizini sasa, maana ndoto inayofuata itahusisha kukojoa au kujisaidia haja kubwaKama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
kuna uwezekano kaisha shusha kubwa huyo 🤣Amka usingizini sasa, maana ndoto inayofuata itahusisha kukojoa au kujisaidia haja kubwa
Hata yeye mwenyewe Rais anafahamu kwani aliwahi kusimulia kuwa baada ya kuapishwa kuwa Rais kuna mstaafu mmoja (hakumtaja jina lakini anaweza kuwa Mzee Ruksa) alimwambia kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni yule anayevaa shati la kijani mwenzako.Mchawi wa Rais hatoki mbali
Hakuna mpasuko ndanj ya CCM ni kwamba kiongozi wao wa sasahana ushawishi. Anategemeq polisi, mahakama.Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
Nchi inayumba sanaCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Huyu mama hajui siasa.Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.

Wako Songea!Wapi comment za watani zangu
Tlaatlaah
johnthebaptist
choice variable
Na sio kwa umuhimu
Lucas Mwashambwa
Mbona tayari mkuu?Huyu mama hajui siasa.
angeomba ushari kwa wanasiasa wakongwe.
sasa aliweka dharau wakati alijua fika yeye ccm ni mtu mdogo sana na hajui mbinu fitinishi.
Kwanza kihistoria yeye aliokota dodo limedondoka kutoka kwenye mzigo alokua nao bodaboda.
Hivyo hata wenye chama hawakutegemea.
Asipokiwa makini atajichapa fimbo mwenyewe
Akili zako ziko wapi, na unafikiri kwa kutumia nini, tuanzie hapo kwanzaCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Muulize mama yakoAkili zako ziko wapi, tuanzie hapo kwanza
Muulize mama yako
Nikimuambia **** mpumbavu mmoja katoa viroja nikamuuliza maswali akasema nikuulize wewe, atasema km umeshindwa kujibu basi nikwambie umuulize bashe wako anaekupaka mate matakoni akusaidie. Hapo vipi.Muulize mama yako
Muulize akili zangu zilipo,anajuaNikimuambia **** mpumbavu mmoja katoa viroja nikamuuliza maswali akasema nikuulize wewe, atasema km umeshindwa kujibu basi nikwambie umuulize bashe wako anaekupaka mate matakoni akusaidie. Hapo vipi.
Jibu atanipa km nilivyokuambiaMuulize akili zangu zilipo,anajua
Nchi haiwezi kupasuka. Watanzania ni wepesi sana kuwatawala, hata wewe unawezaCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Hakusema amefariki, usitake kusema maneno kwa kuvutia upande wako. Alisema yupo hoi kwa madiba, inasemekana ni sumu. Sasa naona katika harakati hizo za matibabu ndipo akapona.Jamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika