Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwa ufupi zule mpango wa Samia 2025 asigombee, Umefanikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Ni maoni tu ya kawaida, binafsi unavyoona mwenyewe hali ilivyo. Samia kayakoroga mengi zaidi kuliko hayo uliyo yataja wewe. Ni kiongozi aliyetokea tu kuwepo bila ya kuwa na uwezo wa kuongoza.Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
Asigombee itakuwa heri maana miaka takriban 4 nchi imedorora ndo akae mingine 5 Zimbabwe itakuwa nafuu,Hapana kabla hajaandika nilisha jua hili jambo!!
Mama hatogombea kabisa!wamemchezesha boko sana!
Alafu hapo hapo nasikia form four failure Lukuvi akasema Samia aendelee hadi 2035!Asigombee itakuwa heri maana miaka takriban 4 nchi imedorora ndo akae mingine 5 Zimbabwe itakuwa nafuu,
Hata hiyo 2030 hatakiwi kufika aishie hapo 2025, huyo fom foo kaokotwa jalalani anajiropokea tu,Alafu hapo hapo nasikia form four failure Lukuvi akasema Samia aendelee hadi 2035!
Kwanini watu wanachezea Katiba kiasi hiki?
Inajulikana Mungu akipenda Muda wake ni 2030 Ila Haya ya 2035/40 Hapana
Britanicca
Tukiacha chuki binafsi huyu mama anajitahidi sana ...imagine ajira zote zilifungwa lakini now aghalau anaajiri...sasa hivi wanasiasa hasa upinzani wanaongea freely lakini nyuma kidogo hili halikuwezekana..mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..uwezo wake ni mdogo ndio maana inawezekana kumpotosha.
niliwaza kitu kama hiki kichwaniKama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM.
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa!
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki. Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani.
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu, Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi. Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile.
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo! Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu.
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo!
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo!
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango.
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu.
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
Britanicca
Alivyoanza ndivyo ilivyokuwa lkn alipo na anapoelekea tayari ameshapoteza muelekeo. Sasa hivi anategemea ramli chonganishi toka kwa DAB (rej: "nimetumiwa clip ya.... na kuisikiliza")Tukiacha chuki binafsi huyu mama anajitahidi sana ...imagine ajira zote zilifungwa lakini now aghalau anaajiri...sasa hivi wanasiasa hasa upinzani wanaongea freely lakini nyuma kidogo hili halikuwezekana..mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Mkuu, sijui una maana gani unaposema "asigombee"!Asigombee itakuwa heri maana miaka takriban 4 nchi imedorora ndo akae mingine 5 Zimbabwe itakuwa nafuu,
Hata mimi kwa hili nilishangaa sana kumsikia akitamka hivi....Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...
Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??
Uking’amua hili basi
SureWaliotaka kupindisha "KIJITABU" kama anavyoita , walikuwa sahihi kabisa!!!
Wa kumlaumu ni VENANCE MABEYO, taabu hii yote ni yeye kahusika aslimia kubwa!!!
Huyu Mama mwakani tumalizane naye kwa njia ya kura kama akibahatika kuteuliwa na mbogamboga huko sekretarieti
Haahaa sema umemaliza kila kitu, wale wakusikilizia ndo wabaya sana haoPale ccm kuna kambi nyingi sana, kuna zingine zipo zinaangalia tu mchezo unavyoenda, kuna nyingine zipo kwa mfumo wa kulipa kisasi kuna nyingine zinapigania kubaki, kuna nyingine zinaangalia maslahi yao yatakuwa salama kiasi gani na ninani awepo au atoke ili usalama wao uzidi kuwepo, kuna nyingine ni za waasisi , wale waliokuwepo juzi jana na leo wote hao wanaangalia tu mchezo unavyo cheza.
Zikiingia front kambi mbili tu ccm ina kuwa kanu ya kenya.
Hili sijui kwanini mama huwa halielewikambi za chaguzi kuu,
Sahihi kabisawanafuma vema Mpasuko kisayansi
Hili kila mwenye akili analielewawanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM
Mbinchi....Huy baloz ni nan code ngum hii
Mkuu imefunguka n katibu mwenezi wa chama tawala,,, ahaaaaaMbinchi....
Huyu mama ana tatizo la kufikiriKama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.