second9
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 216
- 451
Mkuu umeandika vyema kabisa ila tatizo ni kwamba kiti kikubwa chura amepwaya sana. Inafika muda unaona kabisa anasikiliza huku na kule bila kuchuja mambo na hili unaliona vizuri kwenye teuzi zake na hotuba zake.
Yaani teuzi za chura ni dhahiri amepwaya anasikiliza tu kila kinachokuja kwa vijana wake bila kuchuja kwa akili yake wala kusoma kwa utulivu profile za viongozi anaowateua na ni wachache sana ila kwasababu anakurupuka anajikuta anadharirika, kwa kuteua na kutengua kila mara just kwasababu walioteuliwa hawana sifa sahihi au ni marehemu.
Pili ni kwenye hotuba zake, mtu anayetumia akili hata wakati unasoma kama jambo halijakaa sawa basi ukishasoma then unajaribu kuelezea kwa namna ya kidiplomasia. Lakini pia hotuba zake zimekuwa za vijembe zaidi kuliko point za msingi.
Mwisho kabisa huyu chura hana sauti ya kimamlaka na wala hawezi kuwa nayo. Ni wanawake wachache sana wanasauti za kimamlaka. Ila pia huwezi kuongea kimamlaka huku unarembua macho sorry kama nitakuwa nimeattach personality.
Na kwa upande wa upinzani kiukweli sasa hivi upinzani wetu wako weak sana hawana ushawishi uliojaa mashiko na kuamsha hisia kwa wananchi ni kama wamezoeleka sana kupiga kelele. Wangefanya kama Marekani ukiona kiongozi anaanza kupwaya kwenye hotuba tafuta mwingine; Biden alianza kuzingua jamaa wakamleta Kamala fasta. Sasa ukiangalia upinzani inahitaji mtu mwenye hekima ambaye anaweza kuzungumza na akatoa sauti za mamlaka na zenye kuamsha hisia kulingana na uelekeo wa nchi.