Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Wapi comment za watani zangu
Tlaatlaah
johnthebaptist
choice variable
Na sio kwa umuhimu
Lucas Mwashambwa
actually,
Mwanadiplomasia mtaalamu, mwandamizi na mbobevu katika siasa za vyama vya siasa, hususani CCM, siwezi kukomenti chochote kwenye jambo ambalo halipo na utafiti inaonyesha hakuna dalili wala ishara ya kuwepo kitu kama hicho..

Na zaidi sana,
hata ukifuatilia comments, mawaidha, nasaha na ushauri wangu na pengine hata comments za hao wengine uliowatag,

Utagundua michango ya maoni na mitazamo yao hutokana na matokeo ya tafiti nyingi sana ambazo zinafanyika humu nchini kuhusu mambo mbalimbali nchini..

So,
ukioni kimya, sio kwamba hatuoni upotoshaji huo, ispokua hakuna haja kuchangia kitu ambacho hakipo, wala hakina dalili wala ishara za kuwapo kwake kwenye chama hicho, labda vyama vingine vya kisiasa 🐒
 
Amka usingizini sasa, maana ndoto inayofuata itahusisha kukojoa au kujisaidia haja kubwa
 
Hakuna mpasuko ndanj ya CCM ni kwamba kiongozi wao wa sasahana ushawishi. Anategemeq polisi, mahakama.
 
Huyu mama hajui siasa.
angeomba ushari kwa wanasiasa wakongwe.
sasa aliweka dharau wakati alijua fika yeye ccm ni mtu mdogo sana na hajui mbinu fitinishi.
Kwanza kihistoria yeye aliokota dodo limedondoka kutoka kwenye mzigo alokua nao bodaboda.
Hivyo hata wenye chama hawakutegemea.
Asipokiwa makini atajichapa fimbo mwenyewe
 
Mbona tayari mkuu?
 
  • Kwa kuzingatia chama kikikaa madarakani muda mrefu kinaanza kuweka mizizi ya kukikausha, uliyoandika yapo kama hayapo.
  • Yale maneno ....kutekwa ni drama', ....'kifo ni kifo tu' yanatafarisha sana.
  • je kuna presidential candidate hapo mwakani?
  • CDM walikosea timing! Maandamano, kwa kuxhelewa sana, yalipaswa kufanyika mara Tu baada ya mazishi ya Mzee Kibao. Zama zimebadilika.
 
Nikimuambia **** mpumbavu mmoja katoa viroja nikamuuliza maswali akasema nikuulize wewe, atasema km umeshindwa kujibu basi nikwambie umuulize bashe wako anaekupaka mate matakoni akusaidie. Hapo vipi.
Muulize akili zangu zilipo,anajua
 
Jamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika
Hakusema amefariki, usitake kusema maneno kwa kuvutia upande wako. Alisema yupo hoi kwa madiba, inasemekana ni sumu. Sasa naona katika harakati hizo za matibabu ndipo akapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…