Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

149bfc1b-aa95-4d2d-bd1a-6f777a880e03.jpg
 
kuna mmoja alinijia kwa giayeye ni mwanajeshi anatakiwa kwenda ghana kuwafundisha wanajeshi wa ghana mafunzo kabla ya kwenda ghana anitumie mizigo ndani ameweka dola laki mbili tena na mipicha ya miboks mikubwa kubwa kama kweli mwisho ananambia anamwachia mchungaji ndio atatuma yeye anatakiwa kuondoka chap

nikasema huyu mbona nataka kuuona mwisho siku ya pili et mchungaji anani email kua amekwama gharama za kutuma mzigo nimtumie hela atume mzigo nikanwanbia search humo kwenye hio miboks mna hela za kumwaga akaanza kunitishia mara mwanajeshi feki akanijia et kapigiwa na mchungaji nimtumie hela mna viti vyake vya gharama nije nikae navyo nikamwambia uliko lala mwenzio nimeamkia tukaishia hivo
 
Kwanza sidhani hata kama ni mdada kweli
Mi nahisi ni kidume, tena chenye uchebe wake wa kutosha

Sasa ngoja tuone mchezo unavyoenda, hatoamini ambavyo nitamdandisha mtumbwi wa vibwengo

Nimetumiwa hii pichaView attachment 2585608hii picha kama naijua, sijui niliiona wapi 🤣

Nimeomba mawasiliano zaidi whatsap nimejibiwa
Hope you are doing fine,i will really like to have
a good relationship with you, and i have a special reason why i
decided to write you because of the urgency of my situation here and
here in refugee camp can`t get access on whatsapp.
Kuwa makini na utaambiwa utume dollar kuna zawadi yako hela imepelea!
 
kuna mmoja alinijia kwa giayeye ni mwanajeshi anatakiwa kwenda ghana kuwafundisha wanajeshi wa ghana mafunzo kabla ya kwenda ghana anitumie mizigo ndani ameweka dola laki mbili tena na mipicha ya miboks mikubwa kubwa kama kweli mwisho ananambia anamwachia mchungaji ndio atatuma yeye anatakiwa kuondoka chap

nikasema huyu mbona nataka kuuona mwisho siku ya pili et mchungaji anani email kua amekwama gharama za kutuma mzigo nimtumie hela atume mzigo nikanwanbia search humo kwenye hio miboks mna hela za kumwaga akaanza kunitishia mara mwanajeshi feki akanijia et kapigiwa na mchungaji nimtumie hela mna viti vyake vya gharama nije nikae navyo nikamwambia uliko lala mwenzio nimeamkia tukaishia hivo
Umemkomesha 🙌🙌
 
Back
Top Bottom