Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

Kwamba unafungua emails za humu spams!? Mm nimeziignore side hiyo mpk siku hiz wameacha kutuma
 

Sema huu utapeli wa mwaka 2000 mwanzon
 
Yalinikuta siku siyo nyingi. Mwisho utaambiwa utume pesa ya kusafirishia na kukomboa mabox ya zawadi zako. Wahuni hawa (midume) wengi ni kutoka Senegal. Wanalugha tamu sana na ahadi kibao za uaminifu na kutokuumizana ktk mahusiano.
 
Utapeli wa 2011 huu , zamani sana
 
Kuna tapeli flani alinifata telegram, bc nilikuwa nachat nae nahisi mpaka akachoka mwnyw akaona aniache tuu, akiongea mambo ya kumtumia pesa mm namjibu kdg afu naweka story nyingine.
 
Sasa nawe umefikiwa na ugeni mkubwa hivyo bado unashindwa Kuwa na maamuzi huru🤔
 
Picha ni photoshop
 
Hivi haya mambo bado yapo Tu!

Kuna kipindi nilikutana nayo mdada anasema yupo refugees camp,wazazi wake wameuwawa so anataka kuja tz na vitu kama hivyo,ana pesa mingi,Ila huyu alikuwa kajipanga kinoma akawa ananiunganisha Kwa phone na padri WA camp napiga naye mastory,akatuma na certificate ya bank, bla bla kibao lkn mwisho wa siku nikashtukia mchezo.

Ila bado kidogo niingie line Kwanza Mimi ni mtu mwenye huruma Sana kwahiyo niliguswa Sana na shida zake za camp hlf unajua mambo ya pesa bwana ni shetani Sana.

Nikajisemea hizo hela zilivyo mingi nikifanikiwa kumleta dar tunanunua mlima Kilimanjaro hahaha!
 
Huyo shenz achana nae
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matura Nchi hii mpo wengi sana ndio maana wakina Kalyinda huko walipo wanafikiri waje na mguu gani mpya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…