Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

Si nkajua [mention]financial services [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki leo ningechukua gari yanguuuuu[emoji23][emoji23]
 
Si nkajua [mention]financial services [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki leo ningechukua gari yanguuuuu[emoji23][emoji23]
Financial ukuje huku, kuna ujumbe wako. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
wewe endelea tu kuchora ramani huyu humpati
 
Kali sanaaa..umeua Mkuu
 
Mkuu umekuja ku promote wimbo wako tu hapa, hakuna cha mrembo wala nini.

Lakini kama wewe si mwanamziki ni layman katika fani hiyo, niseme umejitahidi pakubwa na utafika mbali ukifuatilia kipaji chako hicho.

Unauwezo mkubwa wa kuchezea sauti na pia una pumzi. Fanya mazoezi zaidi.
 
πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
wewe endelea tu kuchora ramani huyu humpati
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sawa mkuu, wakubwa mnafaidi sana ujue, inamaana sisi ndio tumeumbiwa mateso tu.
 
Halafu ukute yeye hana muda wala mzuka na wewe,na ukute tayari kuna mjuba anamkaza.
 
We Mnyakyusa umeanza lini mambo ya Msukuma Dj DON NALIMISON ?
 
Hongera sana, fanyia kazi mazoezi ya sauti na pumzi, tungo nzuri pasipo mzaha au kupuuza umefanya poa sana.
 
Huo ni utongozaji wa 1990...

Zama hizi za mademu wa Kiepe dry, utaonekana muigizaji...
 
Komaaa mwanangu.....

Kipenyo kinatafutwa aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...kwa nguvu hii uliotumia sitashaangaa ukija piga chini baada kutafuna kidudeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…