Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Financial ukuje huku, kuna ujumbe wako. 😅😅😅😅😅😅😅😅😅Si nkajua [mention]financial services [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki leo ningechukua gari yanguuuuu[emoji23][emoji23]
😂😂 eti wehu😂😂Jamiiforum ya Sasa ina kila aina ya wehu..🤣🤣 dah! Pole mkuu.
wewe endelea tu kuchora ramani huyu humpatiMaisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea mitandao ya kijamii huu wimbo nimeimba special kwaajili yako.
Pengine ndugu rafiki unaweza ukawa unaishi jirani naye hapo mtaani tafadhari kama hatoina mwonyeshe huu wimbo ni kwaajili yake. Twende kazi.
View attachment 1999856
Mkuu umekuja ku promote wimbo wako tu hapa, hakuna cha mrembo wala nini.Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea mitandao ya kijamii huu wimbo nimeimba special kwaajili yako.
Pengine ndugu rafiki unaweza ukawa unaishi jirani naye hapo mtaani tafadhari kama hatoina mwonyeshe huu wimbo ni kwaajili yake. Twende kazi.
View attachment 1999856
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mkuu umekuja ku promote wimbo wako tu hapa, hakuna cha mrembo wala nini.
Lakini kama wewe si mwanamziki ni layman katika fani hiyo, niseme umejitahidi pakubwa na utafika mbali ukifuatilia kipaji chako hicho.
Unauwezo mkubwa wa kuchezea sauti na pia una pumzi. Fanya mazoezi zaidi.
💃💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥Kali sanaaa..umeua Mkuu
😅😅😅😅😅😅😅😅sawa mkuu, wakubwa mnafaidi sana ujue, inamaana sisi ndio tumeumbiwa mateso tu.wewe endelea tu kuchora ramani huyu humpati
Halafu ukute yeye hana muda wala mzuka na wewe,na ukute tayari kuna mjuba anamkaza.Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea mitandao ya kijamii huu wimbo nimeimba special kwaajili yako.
Pengine ndugu rafiki unaweza ukawa unaishi jirani naye hapo mtaani tafadhari kama hatoina mwonyeshe huu wimbo ni kwaajili yake. Twende kazi.
View attachment 1999856
We Mnyakyusa umeanza lini mambo ya Msukuma Dj DON NALIMISON ?Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea mitandao ya kijamii huu wimbo nimeimba special kwaajili yako.
Pengine ndugu rafiki unaweza ukawa unaishi jirani naye hapo mtaani tafadhari kama hatoina mwonyeshe huu wimbo ni kwaajili yake. Twende kazi.
View attachment 1999856
Hongera sana, fanyia kazi mazoezi ya sauti na pumzi, tungo nzuri pasipo mzaha au kupuuza umefanya poa sana.Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda.
Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea mitandao ya kijamii huu wimbo nimeimba special kwaajili yako.
Pengine ndugu rafiki unaweza ukawa unaishi jirani naye hapo mtaani tafadhari kama hatoina mwonyeshe huu wimbo ni kwaajili yake. Twende kazi.
View attachment 1999856
😊😊Komaaa mwanangu.....
Kipenyo kinatafutwa aisee😂😂😂😂...kwa nguvu hii uliotumia sitashaangaa ukija piga chini baada kutafuna kidude😂😂😂😂