Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anakula Serengeti lite
naona amenenepa sasa hivi nilikuwa namkubali kwenye dk 10 za maangamizi EATV
Toto lina tabasamu kali xn!! Alafu liko simple xn,,,,,,,Madam presdentWe umependa mwanya na smile mkuu [emoji2][emoji2]
Na yule wa UTV anatangazaga habari na Charles HilaryMleta uzi nafikiri hakuwahi kuwaona akina REHEMA MWAKANGALE RIP
Sauti yake nzito lkn inavutia xnnaona amenenepa sasa hivi nilikuwa namkubali kwenye dk 10 za maangamizi EATV
Ivona mzuri ila kazeeka au Raymond Nyamwihula anamtesaNa yule wa UTV anatangazaga habari na Charles Hilary
Kwamba ndo mzuri huyu, ama kuna mwingine ume mix picha
Ivona ana dharau xn alafu kazeeka yule mnyamkole au Raymomd Nyamwihula anamtesaNa yule wa UTV anatangazaga habari na Charles Hilary
Wanyankole au watutsi dharau ni kasehemu ka tabia zao sio wote lakini.Ivona ana dharau xn alafu kazeeka yule mnyamkole au Raymomd Nyamwihula anamtesa
Kumbe Raymond ndo mume wake alafu huyu dada ni mnyaruanda au mmatumbi mwenzetu?Ivona ana dharau xn alafu kazeeka yule mnyamkole au Raymomd Nyamwihula anamtesa
Mjamzito. Usiniulize ya nani.naona amenenepa sasa hivi nilikuwa namkubali kwenye dk 10 za maangamizi EATV