Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
Mleta ni mshamba au ametumwa! We unaleta picha ya mtu kapaka uso rangi na photo edit.View attachment 2041008
Nakumbuka alipewa kipindi cha kutangaza hip hop Clouds FM, huwa ni siku gani na saa ngapi!??
Nampenda huyu dada ni mzuri jamani, natural lakini hatari na nusu!
tupia picha yake bila hayo makorokocho tumsifie