Kuna msanii mwenye sura nzuri kama Frida Amani hapa Tanzania?

View attachment 2041008

Nakumbuka alipewa kipindi cha kutangaza hip hop Clouds FM, huwa ni siku gani na saa ngapi!??

Nampenda huyu dada ni mzuri jamani, natural lakini hatari na nusu!
Mleta ni mshamba au ametumwa! We unaleta picha ya mtu kapaka uso rangi na photo edit.
tupia picha yake bila hayo makorokocho tumsifie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…