Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

Viongozi ambao hawana uwezo wanalazimisha kuweza,ambapo katiba pia inawabeba (incompetent leaders act like strong leaders) their decisions affect livelihood of citizens
Viongozi wanapokea misaada toka vi nchi vidogo kama sweden Norway Denmark tulivyokuwa navyo SAwa kiuchumi mwaka 1960.
Si ni aibu hii
 
Wewe, shetani ni yule lafa wenu mr #dishlimetilt anayeshikishwa ukuta kule ulaya. Acha kuwapakazia watu wengine.
 
Sijasoma ila nchi hii ina uwezo wa kujitegemea bila kutegemea mikopo
Huhitaji kusoma sana kwenye hili ,tunatakiwa tuwe na mfumo wakiuchumi ambao wanasiasa hawatakiwi kuuchezea hapa siongelei 'National economy and social development strategy of the existing government' naongelea 'The structure of the Nation economy'. Mfano nchi ikiamua kutolipa madeni ya ndani inaua uchumi wake yenyewe eti unahakiki madeni ulikuwa wapi kuhakiki kabla ya kupewa huduma kuna mengi mno ya kuyasema,awamu ya 5 hata kama ulikuwa na mtaji ama elimu ya ujasiriamali ilikuwa ngumu sana kutoboa
 
Hivi unajua ya kuwa kile alichokichuma kikwete ndicho alichokitumia magufuli in such away BOT strategic money ilirabwa yote na kubakishwa pesa ya wiki moja tu!
 
Hakuna msaada punda mmoja wewe!
Wakusaidie kama nani?
Unayoita misaada ni mikopo pendwa ya kimya kimya yenye madhara makubwa mbeleni.
Hakuna nchi wala familia inaweza kuendelea wala kuwa na amani kwakusaidiwa.
Mtumwa mmoja wewe!
Na nimekuita punda kwani hata punda huwa anaona anapendwa kwa kupewa malisho.
Ukipewa nyasi nyingi na maji yakutosha ujue unamzigo mkubwa wakubeba siku hiyo
 
Hivi unajua ya kuwa kile alichokichuma kikwete ndicho alichokitumia magufuli in such away BOT strategic money ilirabwa yote na kubakishwa pesa ya wiki moja tu!
Tusubiri tuone.
Muda unamajibu yote!
 
Hivi unajua ya kuwa kile alichokichuma kikwete ndicho alichokitumia magufuli in such away BOT strategic money ilirabwa yote na kubakishwa pesa ya wiki moja tu!
Ila ni kwamba, huwezi kujisahihisha kwakutumia njia ile ile iliyokufanya ukosee.
Unae mtaja alikosea mengi kwenye usimamizi hadi anahusishwa kwenye deal za kimangungo nyingi.
Utawala wake ulichokwa haraka sana na wengi.
Jikumbushe tu, Hakuna uchaguzi mgumu TZ kama 1995 na hakuna uchaguzi rahisi km wa 2005. Kutoka hapo ni ushindi wa lazima hadi Magufuli alipoingia ndio wakaanza kueleweka.
Tujikumbushe kidogo. 2015 CCM waliishiwa Sera. Ikawa upande huu 'Movement for change. na upande ule Movement for Magufuli.
Hii haikutokea kwa bahati mbaya!
 
Kuhusu misaada hiyo uchwara mzee Mwinyi anasemaje kwanza?
 
Nilichoweza kug’amua hapa ni kuwa CCM imechokwa mbaya sana na kitambo mno, Kikwete aliruhusu hisia halisi za watu kuonekana hadharani, Magufuli alipambania legacy ya Nyerere kubaki imara nadhani ndio maana 14 walijikuta wapo Chato badala ya Butiama.
 
Utadhani nchi yote ni wagogo watupu.
 
Hii nchi viongozi wasipokuwa wazalendo na makini itagawanyika vipande.
Uongo haujawahi kudumu.
Hatari zaidi kuna viongozi hawajali hisia za watu wachini (wanyonge au kivingine 'hewala baba!) Hawa ni wengi mno wakikata tamaa watadai Uhuru wao na nchi yao.
Magufuli aliingilia korosho akatukanwa. Leo kawaulize huko kusini kunani kuhusu korosho? Ni Bomu lingine linasubiri muda kilipuka!
 
Kwani RAIA wanahitaji CCM au viongozi bora?
RAIA wanahitaji uongozi bora sio vingine.
Kuna faida gani kuitoa CCM 'A' nakuiweka CCM 'B'? kwa maana yako hiyo tukiichoka CCM ndio tuchague chochote kilicho mbele yetu?
Heri zimwi likujualo! Bado km nchi tunamuda wakujisahihisha
 
Ameicha nchi ikiwa ime ugua kiharusi,mtu mbaya ambaye hakujua kuwa kufanya miradi mingi tena mikubwa ingedhohofisha uchumi wetu , Ila kwa sababu alikuwa mpenda sifa, akaendela nayo huku wajinga flani wakiwa Wana mshangilia.
Kudorora kwa uchumi wetu chanzo kikubwa uongozi mbovu wa jpm.
 

kesi za uhujumu uchumi zimeondoka na mwenda zake kwahiyo misaada ndo mkombozi. mwendazake aliwaaminisha wajinga kama wewekuw nchi tajiri kumbe anakwapua pesa za wafanyabiashara na kuteka watu naa kuwabambikia kesi walipe fidia.
 
Jpm alikuwa hakopi?

Utawala/uongozi wake alikuwa hapokei misaada?

Ova
 
Iwe CCM A, CCM B au mpaka hata C, as long as ni mtanzania mwenye vigezo sioni tatizo.
 
2020,wenye mabegi yaliyojaa kwenye vituo vya kupigia kura duu!
 
Tafadhali muache mzee wetu apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…