Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

Rais alisema tozo nikwaajili yakulipa deni la mkopo tulien anaupiga mwingi
 
Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?

Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA

Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,

Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.

Zama za MAGUFULI zimepita.

Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.

Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.

Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?

Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?

Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?

"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Kwa hali ya kawaida huwezi kuwa ombaomba ukafanikiwa hata siku moja ni rule of the thumb...Sasa hawa ambao wanataka kutuaminisha ombaomba ndiyo staili ya kuondokana na umasikini huo ni ugunduzi mpya au theory hii wao ndiyo wanaianzisha kuua ile ya iliyoko miaka yote kwamba huwezi ukawa ombaomba kisha ukaondokana na utegemezi?
Inasikitisha sana kwakweli!
 
Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?

Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA

Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,

Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.

Zama za MAGUFULI zimepita.

Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.

Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.

Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?

Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?

Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?

"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Tuache uongo,misaada kupindi cha kikwete eti tuliambulia vyandarua?huna hata haya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uko sawa mukuu sikuzote wafia nchi huitwa majina ya hovyo lakini kumbe ndiyo watu muhimu katika mataifa yao kama vile J.P.m [emoji813] kafanya mambo makubwa sana katika nchi hii mafisadi hawaoni wana pandikiza vijana kwenye mitandao ya kijamii kuhakikisha wana zima jina lake lakini hawata weza. kapandisha uchumi kwa mda mfupi hakupenda misaada yakijinga nchi kaiacha salama R.I.P.J.P.M
Ubaya haukuwahi kuushinda wema, lets give it time...Njia ya mwovu imejaa giza na utelezi, hilo ndilo neno la Mungu!
 
Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?

Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA

Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,

Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.

Zama za MAGUFULI zimepita.

Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.

Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.

Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?

Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?

Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?

"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Mkuu unazo takwimu halisi ni fedha gani za misaada ambayo amepokea JPM katika kipindi chake au unasikiliza maneno ya mtaani tu?
 
Wapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.

Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.

Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962

Tumepata misaada:
1. Tangu lini!?
2. Kiasi gani!?
3. Imetufikisha au kutuvusha mpaka wapi.
Pamoja ya kuwa mtoa mada kuzizungumzia hoja hizo hapo chini, lkn ningependa kujua maoni yako.
4. Inatujengea mtazamo na dhana ya kutupa samaki??
5. Inatujengea mtazamo na dhana ya kutufundisha kuvua samaki??

CC: omtiti
Naomba usaidizi wa kuchunguza hoja hizo hapo. Licha ya kuwa zingine umezigusia.

Master Arcade
Naomba ufafanuzi wako pia.
 
Huwezi wawezesha masikini bila kuchukua kwa tajiri
Tangu lini matajiri wakasaidia masikini? Matajiri hupenda masikini waendelee kuwepo ili waweze kuwatumia kwa faida yao...Ebu ondoeni mawazo ya kimatonya...Kila mtu ameamriwa kufanya kazi ili kwake iwe halali kupata ujira...Ni laana tena mbaya kula chakula kilichofanyiwa kazi na mwingine!

"The rich rule over the poor, and the borrower is slave to the lender." Psm 22:7
 
Tajiri mmoja nyuma yake masikini zaidi ya 200 tajiri anaweza kuwa dereva,konda,mhasibu,fundi, waiters, Mwalimu,mlinzi,mfagizi, daktari, police,nk.
Kati ya masikini na tajiri nani ulipa kodi nyingi.
Umasikini na utajiri ni maamuzi ya mtu Mungu katoa fursa sawa kwa wote ni uwezo wako tu wa kucheza na kanuni ipi ya umasikini au utajiri.
 
kesi za uhujumu uchumi zimeondoka na mwenda zake kwahiyo misaada ndo mkombozi. mwendazake aliwaaminisha wajinga kama wewekuw nchi tajiri kumbe anakwapua pesa za wafanyabiashara na kuteka watu naa kuwabambikia kesi walipe fidia.
Wewe acha maneno ya kukalishwa,hivi Tanzania ina matajiri wangapi wanaoendesha uchumi wa Tanzania, mbona ktk kipindi cha Magufuri ndio wakina Mo wakatanganzwa milionia kijana Africa wakati wa Magufuri Tanzania ilipata mamilionia wengi kwa upande wa Africa mashariki,kitu ambacho akikutokea kipindi cha Kikwete,walionyanganywa pesa ni akina Manji walokuwa matapeli, kuibia Serikali, Magufuri alivyofunga milirija yao wakaanza kutunga uongo eti Magufuri ananyanganya matajiri fedha.Mbona hatujawai kusikia akina Mo na Bacressa wakilalamika?
 
Wakoloni waliwajengea watz mentality za utajiri Ili wengi walipe kodi kupitia uzalishaji mashambani na viwanda na kwenye biashara. Nyerere na Sokoine wakawajengea watz mentality za umasikini kwa kuwaletea ujamaa Ili wawatawale,.Enzi ya mkoloni wapo watz wengi tu walikuwa wanamiliki utajiri kupitia kilimo, biashara nk baada ya UHURU walipigwa uhujumu uchumi wote wakafilisiwa, wajanja wakakimbilia Kenya na nchi za jirani, alichofanya mwendazake ni copy and paste ya Nyerere na Sokoine kuwafanya matajiri wawe masikini.Mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali.Itikadi ya umasikini Iliingizwa nchini tokea China baada ya kucopy na paste ujamaa ambao lengo kuu la ujamaa ni kuwatawala watu kwa kuwafanya wawe masikini maana huwezi mtawala tajiri bali unamuongoza.kuongoza na kutawala ni vitu viwili. matajiri wamekuja kuanzia kuchomoza alipoingia Mwinyi madarakani huku itikadi ya umasikini ikiwa bado imetamalaki kwa wtz wengi kwa kubatizwa msamiati mpya wa unyonge.
Unyonge ndio umasikini huohuo sema lugha imeboreshwa.
 
Tajiri mmoja nyuma yake masikini zaidi ya 200 tajiri anaweza kuwa dereva,konda,mhasibu,fundi, waiters, Mwalimu,mlinzi,mfagizi, daktari, police,nk.
Kati ya masikini na tajiri nani ulipa kodi nyingi.
Umasikini na utajiri ni maamuzi ya mtu Mungu katoa fursa sawa kwa wote ni uwezo wako tu wa kucheza na kanuni ipi ya umasikini au utajiri.
Kwahiyo? Nenda wewe ukawe ombaomba utuache sisi watanzania ambao katiba yetu inasema siasa yetu ni ya ujamaa na kujitegemea...Hamieni nchi yenye kutaka kuwa tegemezi hii si yenu kwakua sisi si tegemezi na wala si masikini na kama una sehemu yeyote ya maamuzi basi jua hakika wewe ni tapeli kama matapeli mengine!
 
Nafikiri hata kubishana jambo kama hili bado ni fikra za kimasikini sana...

Nchi sio masikini ila mfumo tunayoenda nao ni wa kimasikini sana ndio maan ni vigumu kuendelea...

JiwE alikuwa mshenzi kwenye baadhi ya vitu ila swala la kukusanya hela kutumia rasilimali zetu alikuwa yupo vizuri sana... Alionyesh bado nchi sio masikini japo system bado ilimtaka apokee misaada na kuita watu wanyonge ili awatawale vizuri,,, na kufanya matajiri tuwaone ndio wezi.
 
Nchi yetu ina tatizo moja kubwa,hatuna mkakati wa maendeleo wa Muda Mrefu kama Taifa. Tunasubiria ilani za wanasiasa wanaoweka mikakati ya miaka 5 kwa kuangalia watafaidika vipi wao na si nchi.
Tuweke mkakati kama nchi wa miaka hata 100 mbeleni,aje ccm,chadema,tlp nk ila wataongozwa na huo mkakati na si wao kuamua nini kifanyike.
 
Kwahiyo? Nenda wewe ukawe ombaomba utuache sisi watanzania ambao katiba yetu inasema siasa yetu ni ya ujamaa na kujitegemea...Hamieni nchi yenye kutaka kuwa tegemezi hii si yenu kwakua sisi si tegemezi na wala si masikini na kama una sehemu yeyote ya maamuzi basi jua hakika wewe ni tapeli kama matapeli mengine!
Miaka 60 ya UHURU bado ombaomba huku raslimali tele zimejaa.
Huo UHURU umekusaidia nini hata milo mmoja kwa siku ni tabu
 
Nchi yetu ina tatizo moja kubwa,hatuna mkakati wa maendeleo wa Muda Mrefu kama Taifa. Tunasubiria ilani za wanasiasa wanaoweka mikakati ya miaka 5 kwa kuangalia watafaidika vipi wao na si nchi.
Tuweke mkakati kama nchi wa miaka hata 100 mbeleni,aje ccm,chadema,tlp nk ila wataongozwa na huo mkakati na si wao kuamua nini kifanyike.
Kusema hatuna mpango wa muda mrefu ni uwongo...Mpango upo Development vision ya 2000-2025 ila je huo wa miaka mitano unakuwa kweli SMART? Hilo ndilo tatizo tulilonalo...Maana tunapenda sana ku justify vitu...Hatupo objective...You can still benefit as an individual lakini isiwe unawaza wewe kwanza wengine baadaye na kulazimisha mambo binafsi ndiyo yaongoze yale ya jumla
 
Wakoloni waliwajengea watz mentality za utajiri Ili wengi walipe kodi kupitia uzalishaji mashambani na viwanda na kwenye biashara. Nyerere na Sokoine wakawajengea watz mentality za umasikini kwa kuwaletea ujamaa Ili wawatawale,.Enzi ya mkoloni wapo watz wengi tu walikuwa wanamiliki utajiri kupitia kilimo, biashara nk baada ya UHURU walipigwa uhujumu uchumi wote wakafilisiwa, wajanja wakakimbilia Kenya na nchi za jirani, alichofanya mwendazake ni copy and paste ya Nyerere na Sokoine kuwafanya matajiri wawe masikini.Mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali.Itikadi ya umasikini Iliingizwa nchini tokea China baada ya kucopy na paste ujamaa ambao lengo kuu la ujamaa ni kuwatawala watu kwa kuwafanya wawe masikini maana huwezi mtawala tajiri bali unamuongoza.kuongoza na kutawala ni vitu viwili. matajiri wamekuja kuanzia kuchomoza alipoingia Mwinyi madarakani huku itikadi ya umasikini ikiwa bado imetamalaki kwa wtz wengi kwa kubatizwa msamiati mpya wa unyonge.
Unyonge ndio umasikini huohuo sema lugha imeboreshwa.
Two can be many...Hao wengi walikuwa wapi? Tuletee taswira/picha ya Dar mji mkuu wakati wa ukoloni tuone hao watu matajiri walikuwa nfiyo akija nani na wakoje....Tatizo la uswahili, maneno mengi, matendo zero!
 
Wapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.

Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.

Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962
Katika wajinga hii nchi wewe ndio number moja kabisa pumbavu kenge mwenye madoa doa
 
Back
Top Bottom