Kuna mtoto wa miaka minne kakutwa na typhod wakampa hii dawa. Ni sawa?

Hebu Jitahidi Uonane na Daktari wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Mishipa/ NeuroSurgery/Neuroscientist..
Akufanyie Evaluation na Athari ya Shida Hiyo..

Maana Kuna Sometimes Inaweza ikawa Ni Ukoma so Ni muhimu kwenda wa Specialists Wakukague Vizuri..

Na Napendekeza Kama ukiweza Uende MOI..
na uombe kwenda Clinic ya Daktari yoyote wa Neuro..
Atakusaidia kufanya evaulation na Njia nzuri ya Matibabu na Usipuuzie Miaka 5 sio Michache
 
Asante mkuu.

Kwa sasa MOI siwezi kufika, ila hapa nilipo naweza kumuona neurosurgeon na neurologist.
Nitafanya hivyo hata next week.
 
Mwaka mmoja, tunatoaje dose ya Cipro??
Mkuu Unafahamu Cipro Inatolewaje kwanza Dose yake??
Naweza kubishana na Mtu asiyejua hata dose ya Dawa...

Lakini ngoja Nikusaidie Cipro dose yake ni 15mg/kg so Wewe Mwenyewe Unaweza Ukapiga hapo na Ukapata utampaje..
Sorry kwa Hili swali wewe Ni medical Personell??

Kama Ndiyo na Hujui Dose Ya Cipro Inafikirisha Sana
 
Mimi ni mwalimu wa history darasa la tatu, mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…