tuwekee mfano wewe umeweka kiasi gani,na faida inakuwa kiasi gani na muda gani kuchukuaNimeweka huko kiasi fulani na huwa mara nyingi nachukua kidogo. Niko na liquid scheme. Ndani ya siku tatu hela inaingia. Huwa nachukua faida.
Ukiweka 10m unapata ongezeko la 100k mpaka 112k kwa mwezi.tuwekee mfano wewe umeweka kiasi gani,na faida inakuwa kiasi gani na muda gani kuchukua
Ok sawa,na hapo mtaji wako wa 10m unabaki hapohapo,na je iyo ongezeko lake halina vat ama ni kama 100k unachukua yote bila kodi ya mama samiaUkiweka 10m unapata ongezeko la 100k mpaka 112k kwa mwezi.
Hamna kodi, unaichukua kwa kuuza vipande vyako.Ok sawa,na hapo mtaji wako wa 10m unabaki hapohapo,na je iyo ongezeko lake halina vat ama ni kama 100k unachukua yote bila kodi ya mama samia
kama kweli ndio ivyo ni sawa ngoja tuikimbilie fursa ilipoHamna kodi, unaichukua kwa kuuza vipande vyako.
Hamna kodi, unaichukua kwa kuuza vipande vyako.
Unachukua yote na faida ambayo sio chini ya laki sita.Ina maana brother nikiweka 10m baada ya miezi 6 kwa mfano naweza ichukua yote hiyo 10m yangu au inaweza kupungua na isiwe yote hiyo 10m?
Milion 10 upate laki kwa mwezi? What kind of business is this?Ukiweka 10m unapata ongezeko la 100k mpaka 112k kwa mwezi.
Hiyo ni sehemu unaweka hela ambayo hauna mipango nayo kwa wakati huo.Milion 10 upate laki kwa mwezi? What kind of business is this?
Mkuu anamarket product yake kivipi? mbona mambo ya UTT yapo wazi kabisa na ni mfuko unaosimamiwa na selikari.old style of marketing your products
Huo ni uwekezaji kwa maana kwamba unapata passive income na kuna compound interest.Tofautisha business na investmentMilion 10 upate laki kwa mwezi? What kind of business is this?
Ni vema kuwekeza kwenye elimu kwanza ili uelewe baada ya hapo ufanye maamuziMm chakukushauri Ni usiingie mzima mzima,
Anza kwa kuweka kiasi kidogo, ili ujue kama ni kweli
Mkuu naomba kuuliza niliomba ku repurchase na hela yangu ikakatwa kwenye mfuko toka alhamisi iliyopita ila mpk now bado kwenye account haijaingia,Hamna kodi, unaichukua kwa kuuza vipande vyako.
Ni siku tatu za kazi. Ijumaa, jumatatu na jumanne kwahiyo leo jioni au kesho asubuhi itaingia.Mkuu naomba kuuliza niliomba ku repurchase na hela yangu ikakatwa kwenye mfuko toka alhamisi iliyopita ila mpk now bado kwenye account haijaingia,
Kwa uzoefu wako inachukua siku ngapi mpaka hela iingie kwenye acc ya bank? Zimepita siku 3 sasa siioni hiyo hela.
Kwa hiyo mkuu siku 3 za kazi ni tofauti na siku 10 za kusubiria? Niko mfuko wa bond nilituma maombi nikaambiwa nasubiria siku 10 za kazi, siku 10 zikaisha ndio nikakatwa hizo hela kwenye acc yangu ya uttNi siku tatu za kazi. Ijumaa, jumatatu na jumanne kwahiyo leo jioni au kesho asubuhi itaingia.