Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

nilijua ni mimi tu nuiliesonya na kutema mate chini,yani 10M nipate LAKI 1 kwa mwezi hivi hawa maraia akili zipo sawa kweli kweli?

Mtaji wa 10M uhakika wa kupata not less ya 3m-5m kwa mwezi hapo kama utafanya biashara mwenyewe,Nyie wajuba mnaotaka kuwekeza Hebu njooni wekezeni kwangu,Mnipe hizo 10m mimi badala ya Laki kwa Mwezi nitawapa 1M kwa mwezi.

Sasa mchague wenyewe kunifaidisha mtanzania mwenzenu au hao wanyonyaji wenu,Mimi nakupa 1m imenyoooka na at anytime ukitaka mtaji wako wote wa 10M nakupa kama ulivyo no blah blah blah.

Huko UTT sasa naona ni kimbilio la wavivu wa kufikiri na waliokimbia lile somo Adui kwa watanzania (numbers),Acheni biashara Kichaa UTT ni upumbavu kama mihela yote hiyo mnapewa Laki kwa mwezi.

Watu wanakunja laki kwa siku nyie mnasubiri mpka mwisho wa mwezi,yewooomiiiiiiii Nyie maraia hebu shtukeni basiiiiiiiii
Biashara gan?
 
Njoo nikuoe m3 zangu uwe unaniletea laki tano kila mwisho wa mwezi
 
Hzi 10m ni sawa dola za kimarekani elfu nne ambazo nikiziweka kwenye account yangu ya fx nikizungusha tu ndani ya siku 10 naweza kupata profit ambayo ni almost nudu ya hiyo 10m au hata kulingana na hali ya market.
 
Mkuu sijakupata kama unaweza kuweka ùfafanuzi zaidi
 
Sawa nadhani kila mtu na mipango yake, mimi nimewekeza 400m kwa bond fund na nakula around 4m kila mwezi kwa maana kwa mwaka ni 48m kwangu naona sawa tuuu maana hapa mi nikufanya mazoezi na kula vzr huku nikipata mshahara huo 4m nikiwa home sasa nipate nini tena
Hongera sana Mkuu wasiokuelewa watakukejeli ila umefanya wise decision sana.
 
Ina maana brother nikiweka 10m baada ya miezi 6 kwa mfano naweza ichukua yote hiyo 10m yangu au inaweza kupungua na isiwe yote hiyo 10m?
Haipungui. Unachukua 10m yako na faida iliyopatikana
 
nilijua ni mimi tu nuiliesonya na kutema mate chini,yani 10M nipate LAKI 1 kwa mwezi hivi hawa maraia akili zipo sawa kweli kweli?

Mtaji wa 10M uhakika wa kupata not less ya 3m-5m kwa mwezi hapo kama utafanya biashara mwenyewe,Nyie wajuba mnaotaka kuwekeza Hebu njooni wekezeni kwangu,Mnipe hizo 10m mimi badala ya Laki kwa Mwezi nitawapa 1M kwa mwezi.

Sasa mchague wenyewe kunifaidisha mtanzania mwenzenu au hao wanyonyaji wenu,Mimi nakupa 1m imenyoooka na at anytime ukitaka mtaji wako wote wa 10M nakupa kama ulivyo no blah blah blah.

Huko UTT sasa naona ni kimbilio la wavivu wa kufikiri na waliokimbia lile somo Adui kwa watanzania (numbers),Acheni biashara Kichaa UTT ni upumbavu kama mihela yote hiyo mnapewa Laki kwa mwezi.

Watu wanakunja laki kwa siku nyie mnasubiri mpka mwisho wa mwezi,yewooomiiiiiiii Nyie maraia hebu shtukeni basiiiiiiiii
Safety and secure, with guarantee!
😁😁😁
BIASHARA ZA TANZANIA HAZINA GUARANTEE!
BASI WAHINDI NI WAJINGA KUJAZA FEDHA HUMO!
 
Simple and Clear Mkuu, mimi siwezi kwambia nitafanya nini na hiyo 10M ninachotaka ni uje PM tupange unakuja lini ofisini tuongee kiofisi,Nitakutembeza kwenye ofisi yangu 1 tu ambayo ndio naenda itupia hiyo 10m yako

halafu utaona kifuatacho nini BOSS,kuwa huru sijawahi karibisha hata member 1 ofisini kwangu ila ukiwa tayari unataka kuwekeza kwangu nataka nikukaribishe ofisini nikueleze kwa mdomo,achana na hizi makala ninazoandika humu JF wewe nataka nikupe makala za face to face live to live.

Halafu utaamua mwenyewe uko radhi kunipa hiyo 10m kwa 1m kila mwezi au utaendelea na 10m kwa laki kila mwezi.
Kuna mtu atapata kipigo cha mbwa mwizi muda si mrefu.
 
Tuweke wazi kaka.
How?
 
Kwa hali halisi si rahisi 10m izalishe 3m net ndani ya mwezi. Kwa hiyo nauona ulaghai wako sawa na mr. Kuku, DECI. QNET, Best capital management .
Jamaa hataki kukopa bank, ila anataka kukopa kwa masela.
Anaujua moto wa bank usipolipa.

Hajasema akichukua hiyo 10M akashindwa kulipa hiyo 1M/month ama hiyo 10M itakuaje.
 
nilijua ni mimi tu nuiliesonya na kutema mate chini,yani 10M nipate LAKI 1 kwa mwezi hivi hawa maraia akili zipo sawa kweli kweli?

Mtaji wa 10M uhakika wa kupata not less ya 3m-5m kwa mwezi hapo kama utafanya biashara mwenyewe,Nyie wajuba mnaotaka kuwekeza Hebu njooni wekezeni kwangu,Mnipe hizo 10m mimi badala ya Laki kwa Mwezi nitawapa 1M kwa mwezi.

Sasa mchague wenyewe kunifaidisha mtanzania mwenzenu au hao wanyonyaji wenu,Mimi nakupa 1m imenyoooka na at anytime ukitaka mtaji wako wote wa 10M nakupa kama ulivyo no blah blah blah.

Huko UTT sasa naona ni kimbilio la wavivu wa kufikiri na waliokimbia lile somo Adui kwa watanzania (numbers),Acheni biashara Kichaa UTT ni upumbavu kama mihela yote hiyo mnapewa Laki kwa mwezi.

Watu wanakunja laki kwa siku nyie mnasubiri mpka mwisho wa mwezi,yewooomiiiiiiii Nyie maraia hebu shtukeni basiiiiiiiii
Kwema ndugu, naomba tuwasiliane tafadhali
alfredmrisha@gmail.com
 
Tatizo huna maarifa.... ficha ujinga wako kwa kutafuta maarifa
 
Jamaa hataki kukopa bank, ila anataka kukopa kwa masela.
Anaujua moto wa bank usipolipa.

Hajasema akichukua hiyo 10M akashindwa kulipa hiyo 1M/month ama hiyo 10M itakuaje.
Possibly collateral hana, Bank zipo serious sana kwa wakopaji wa chini ya 100m hasa wafanyabiashara wenye ofisi za kibabaishaji unajua waswahili wengi wana ofisi za kwenye mabrifkase tena wana maneno matamu ya kukuaminisha ili wapate pesa, ombi lako mpaka litoboe kwenye idara ya compliance benki sio mchezo kwasasa benki hazitaki utani.

Banks ni rahisi kumkopesha Rostam 500m za mradi bila hata kujaza fomu wala tajiri kuweka collateral na akazilipa bila shida.
Ngoja niwape mfano 1 mkuu wa chuo fulani maarufu sana cha kikatoliki chenye matawi alienda Bank X akaomba mkopo karibu 500m Bank ili alipe mishahara na gharama nyingine za chuo Benki ile wakamwambia ajaze fomu, mara wadhamini na collateral juu akaona upuuzi akaondoka akaenda Benki fulani ilifanya marathon juzi kati pamoja na raia namba 1 wa Zanzibar ili kuchangia huduma hospital yetu ya taifa alivyofika pale alionana na Ex-CEO wakaongea siku ile ile pesa zikaingizwa kwenye akaunti ya chuo bila kujaza chochote imagine [emoji23] yule ex CEO wafanyabiashara wakubwa au waongoza taasisi kubwa alikuwa anawafanyia shortcut kupata huduma bila kufuata taratibu ukiwa unajulikana kwa shughuli unazofanya Benki inakuamini bila tatizo, sasa mtu kama Mo, Bakhressa,Gsm au late Mengi unadhani wanaweza kimbia kisa mkopo wa 500m?
Kuna watu kwa biashara wanazofanya/miliki kwa ukubwa wake hawawezi kimbia kamwe.
Sasa mkopeshe mswahili mwenye ofisi ya mdomo kwanza ukitaka mtembelea anaomba umtajie tarehe ili ajipange anajua ataenda omba ofisi nzuri ili kuzugia aonekane yupo serious kumbe sivyo ataweka tin, certificate ya brela,picha ya raisi na leseni ukutani kuuaminisha, tena mfano posta kuna ofisi za kijanja janja nyingi mno.
Waswahili wengi tunaongea sana tukiona kuna dalili ya pesa rahisi kuipata, jamani biashara sio jambo jepesi hivyo.
 
Back
Top Bottom