Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

Biashara gan?
 
Njoo nikuoe m3 zangu uwe unaniletea laki tano kila mwisho wa mwezi
 
Hzi 10m ni sawa dola za kimarekani elfu nne ambazo nikiziweka kwenye account yangu ya fx nikizungusha tu ndani ya siku 10 naweza kupata profit ambayo ni almost nudu ya hiyo 10m au hata kulingana na hali ya market.
 
Hzi 10m ni sawa dola za kimarekani elfu nne ambazo nikiziweka kwenye account yangu ya fx nikizungusha tu ndani ya siku 10 naweza kupata profit ambayo ni almost nudu ya hiyo 10m au hata kulingana na hali ya market.
Mkuu sijakupata kama unaweza kuweka ùfafanuzi zaidi
 
Hongera sana Mkuu wasiokuelewa watakukejeli ila umefanya wise decision sana.
 
Ina maana brother nikiweka 10m baada ya miezi 6 kwa mfano naweza ichukua yote hiyo 10m yangu au inaweza kupungua na isiwe yote hiyo 10m?
Haipungui. Unachukua 10m yako na faida iliyopatikana
 
Safety and secure, with guarantee!
😁😁😁
BIASHARA ZA TANZANIA HAZINA GUARANTEE!
BASI WAHINDI NI WAJINGA KUJAZA FEDHA HUMO!
 
Kuna mtu atapata kipigo cha mbwa mwizi muda si mrefu.
 
Kuna mtu atapata kipigo cha mbwa mwizi muda si mrefu.
Tuweke wazi kaka.
How?
 
Kwa hali halisi si rahisi 10m izalishe 3m net ndani ya mwezi. Kwa hiyo nauona ulaghai wako sawa na mr. Kuku, DECI. QNET, Best capital management .
Jamaa hataki kukopa bank, ila anataka kukopa kwa masela.
Anaujua moto wa bank usipolipa.

Hajasema akichukua hiyo 10M akashindwa kulipa hiyo 1M/month ama hiyo 10M itakuaje.
 
Kwema ndugu, naomba tuwasiliane tafadhali
alfredmrisha@gmail.com
 
Tatizo huna maarifa.... ficha ujinga wako kwa kutafuta maarifa
 
Jamaa hataki kukopa bank, ila anataka kukopa kwa masela.
Anaujua moto wa bank usipolipa.

Hajasema akichukua hiyo 10M akashindwa kulipa hiyo 1M/month ama hiyo 10M itakuaje.
Possibly collateral hana, Bank zipo serious sana kwa wakopaji wa chini ya 100m hasa wafanyabiashara wenye ofisi za kibabaishaji unajua waswahili wengi wana ofisi za kwenye mabrifkase tena wana maneno matamu ya kukuaminisha ili wapate pesa, ombi lako mpaka litoboe kwenye idara ya compliance benki sio mchezo kwasasa benki hazitaki utani.

Banks ni rahisi kumkopesha Rostam 500m za mradi bila hata kujaza fomu wala tajiri kuweka collateral na akazilipa bila shida.
Ngoja niwape mfano 1 mkuu wa chuo fulani maarufu sana cha kikatoliki chenye matawi alienda Bank X akaomba mkopo karibu 500m Bank ili alipe mishahara na gharama nyingine za chuo Benki ile wakamwambia ajaze fomu, mara wadhamini na collateral juu akaona upuuzi akaondoka akaenda Benki fulani ilifanya marathon juzi kati pamoja na raia namba 1 wa Zanzibar ili kuchangia huduma hospital yetu ya taifa alivyofika pale alionana na Ex-CEO wakaongea siku ile ile pesa zikaingizwa kwenye akaunti ya chuo bila kujaza chochote imagine [emoji23] yule ex CEO wafanyabiashara wakubwa au waongoza taasisi kubwa alikuwa anawafanyia shortcut kupata huduma bila kufuata taratibu ukiwa unajulikana kwa shughuli unazofanya Benki inakuamini bila tatizo, sasa mtu kama Mo, Bakhressa,Gsm au late Mengi unadhani wanaweza kimbia kisa mkopo wa 500m?
Kuna watu kwa biashara wanazofanya/miliki kwa ukubwa wake hawawezi kimbia kamwe.
Sasa mkopeshe mswahili mwenye ofisi ya mdomo kwanza ukitaka mtembelea anaomba umtajie tarehe ili ajipange anajua ataenda omba ofisi nzuri ili kuzugia aonekane yupo serious kumbe sivyo ataweka tin, certificate ya brela,picha ya raisi na leseni ukutani kuuaminisha, tena mfano posta kuna ofisi za kijanja janja nyingi mno.
Waswahili wengi tunaongea sana tukiona kuna dalili ya pesa rahisi kuipata, jamani biashara sio jambo jepesi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…