saimon rusana
Member
- Mar 15, 2024
- 28
- 98
Mwanetu kenge wa darajani hizi ndevu zako zinakua kama vile za wafanya komedi 🤣🤣Mimi sizitoi kabisa maana najua mziki wake. Muhimu ziweke kwenye mazingira safi na salama
Acha kukariri we Arsenale. Au stress za ubingwa zinakumalizaMwanetu kenge wa darajani hizi ndevu zako zinakua kama vile za wafanya komedi 🤣🤣
nimesha jaribu mpaka asali lakini imeshindikanaJaribu limau
nipe maelekezo mkuuKuna dawa ya kienyeji ya Mafuta Ukitumia kamwe hautokuja kupata upele.
Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza.
Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia dawa/sabuni/na wengine walinishauli niache kushevu ndevu kwanza ili zikue tuone, chaajabu ndevu hazioti sehemu iliyo athirika na vipele haviishi, naombeni msaada tafadhalini kama kuna watu walishawahi kuwa na ugonjwa kama huu na wakapona

Mbona mi vilipona kuna kitu utakuwa unakoseanimesha jaribu mpaka asali lakini imeshindikana
Hii nilikutana nayo mkoani nilinyoa kinyozi akafanya hivi nilijisikia comfortable sana though sina vipele ila nahisi kama ni njia bora zaidi ya kupaka after shave.Mkuu dawa yake ni rahisi sana, ukishanyoa chemsha maji ya moto then tumia nguo safi chavya kwenye maji moto alafu kamua kidogo alaf jichome sehemu uliyonyoa. Binafsi nlkuwa na hilo tatzo nilihangaika sana, mwishowe nikapata hiyo soln.
Huwa inasaidia sana kuepuka vipeleMimi sizitoi kabisa maana najua mziki wake. Muhimu ziweke kwenye mazingira safi na salama