saimon rusana
Member
- Mar 15, 2024
- 28
- 98
Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza.
Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia dawa/sabuni/na wengine walinishauli niache kushevu ndevu kwanza ili zikue tuone, chaajabu ndevu hazioti sehemu iliyo athirika na vipele haviishi, naombeni msaada tafadhalini kama kuna watu walishawahi kuwa na ugonjwa kama huu na wakapona