Kuna mtu ameshawahi kupona vipele vya ndevu?

saimon rusana

Member
Joined
Mar 15, 2024
Posts
28
Reaction score
98
Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza.

Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia dawa/sabuni/na wengine walinishauli niache kushevu ndevu kwanza ili zikue tuone, chaajabu ndevu hazioti sehemu iliyo athirika na vipele haviishi, naombeni msaada tafadhalini kama kuna watu walishawahi kuwa na ugonjwa kama huu na wakapona
 
Kwanza, unanyoa saluni vinyozi kama ndio ,usinyoe zoote kwa kukwangua bakiza ziwe kama zinaota

Pinguza mejiki, ukishindwa yote kuna wembe pale mlimacity mall unauzwa 45000 zakitazania ,utafute hutajutia

Mwisho ,vyote ukishindwa tafuta masai ,wakupe dawa ndomana masai wakweli huwezi mwona ana nywele kidevuni
 
Jaribu hii naamini itakusaidia
Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza.

Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia dawa/sabuni/na wengine walinishauli niache kushevu ndevu kwanza ili zikue tuone, chaajabu ndevu hazioti sehemu iliyo athirika na vipele haviishi, naombeni msaada tafadhalini kama kuna watu walishawahi kuwa na ugonjwa kama huu na wakapona

Screenshot_20240522-210638_X.jpg

Mkuu dawa yake ni rahisi sana, ukishanyoa chemsha maji ya moto then tumia nguo safi chavya kwenye maji moto alafu kamua kidogo alaf jichome sehemu uliyonyoa. Binafsi nlkuwa na hilo tatzo nilihangaika sana, mwishowe nikapata hiyo soln.
 
Ukimaliza kunyoa tumia electric shaver, sababu ya kutoka upele mara nyingi ni vinyweleo vinavyobaki ndani ya ngozi baada ya kunyoa,

Electric shaver inangoa mabaki ya nywele sehemu uliyonyoa na kuzuia hivyo vipele,

Nilikua na shida hiyo ila tangu nianze kutumia electric shaver baada ya kunyoa imebaki stori.

Brand yoyote tu tafuta itafaa kwa matumizi
Gallery_1716431496175.jpg
 
Mkuu dawa yake ni rahisi sana, ukishanyoa chemsha maji ya moto then tumia nguo safi chavya kwenye maji moto alafu kamua kidogo alaf jichome sehemu uliyonyoa. Binafsi nlkuwa na hilo tatzo nilihangaika sana, mwishowe nikapata hiyo soln.
Hii nilikutana nayo mkoani nilinyoa kinyozi akafanya hivi nilijisikia comfortable sana though sina vipele ila nahisi kama ni njia bora zaidi ya kupaka after shave.

Mleta mada jaribu hili inaweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom