kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,150
- 7,790
Kama mwenza kwako ina maana ya mke mimi hapana, ila wakuchezeana ujana humu nishapata wa nne lakini miaka ya 2013 huko....tuliishia kuchezeana ujana tu.Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
π€£π€£π€£π€£π€£Ewaa mamtu wa Razorblade π€£π€£π€£
Tumeshakubaliana mpaka umuue kwa Furaha
View attachment 3404693
EwaaΓ π€£π€£Hakuna shida kabisa uzuri tupo na mwenyekiti wa Jando na Unyago Mr I repeat kila kitu kitakuwa sawaaπ€£π€£π€£
Kabisa uzi ufungwe tu kinachotafutwa kishapatikana ππ
Unamuumiza mwanetu Harmful ujue, wewe ni shem letu ajae.Nipo mm na busu la kenge
πππ sawa mkuu nadhani unamwogopa mbaba alomsema kwamba alimpokea baada ya kuingia huku mkoa.Oya sio shemu wenu huyo kaka nililewa π
Zile zilikuwa sio akili zangu kabisa π π ππππ sawa mkuu nadhani unamwogopa mbaba alomsema kwamba alimpokea baada ya kuingia huku mkoa.
Hata hivyo niliweka ajae.
Sawa kiongozi nilijuwa tunambakiza mkoa daima.Zile zilikuwa sio akili zangu kabisa π π π
ππUki pigwa vizuri, uta jieleza kwamba huyo demu nili toa wapi?
Huba chukuchuku π πcouple yangu pendwa JF mnaitwa huku Tayana-wog mtoe ushuhuda πππ
ππ Wanajikuta blitz curler ππSina jibu hapa kwa kweli maana Tayana-wog kaniacha kwenye mataa na Cammilla anamtaka Rais wangu labda nianze harakati upya kwa mleta mada Principle girl π
Selikavu Intelligent businessman dosho12
Kijana kijana nime kuita mara tatu π πππ Wanajikuta blitz curler ππ
ππKijana kijana nime kuita mara tatu π π