Boda wapo, sema ni mzigo gani huo mzee? maana watu hamchelewi kama yule malkia wa nguvu.Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
Shukrani wakuu,ni semiconductors na circuit boards za umeme. Huyu dogo ni mwanafunzi wa form 4 hasomi chuo hapo. Sikutaka nismshughulishe sababu Hana simu.Boda wapo, sema ni mzigo gani huo mzee? maana watu hamchelewi kama yule malkia wa nguvu.
Mtoto wa kishua huyo.Shukrani wakuu,ni semiconductors na circuit boards za umeme. Huyu dogo ni mwanafunzi wa form 4 hasomi chuo hapo. Sikutaka nismshughulishe sababu Hana simu.