Acha ujinga Tanzania ilianza 2015?. Unawajua wazee waliopambania uhuru wa Tanzania. Punguza unafiki.Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.
Bado tunahitaji Rais kama JPM.
Mungu ibariki Tanzania.
Muulize mjane wa Azory,mjane wa Ben Saanane,Tundu Lissu(pigwa risasi za kutosha mchana kweupe eneo na makazi ya viongozi na linalolindwa masaa 24 na CCTV camera zikanyofolewa ili kuficha jaribio la mauwaji) then alipogoma kufa akadhulumia stahiki zake zoteeeee ili akafie mbele huko. Swali la kizushi: HIVI UGOMVI WA PROF ASSAD( CAG ALIYEPITA) NA MAGUFUFULI CHANZO CHAKE NN?Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.
Bado tunahitaji Rais kama JPM.
Mungu ibariki Tanzania.
Ee sawa endeleeni tu kumwabudia shetani wenu na sie tutaendelea kumlaani mpk tuhakikishe kikazi cha aina yake kinafutika ktk ardhi yetu, mrudi kwenuNi kweli kabsaa atakumbukwa after 30yrs later, alikuwa mwanamapinduz wa kweli. Hata Thomas Sankara wakti anauwawa alibezwa, media zikawa corrupt wakamchafua sana ila baada ya miaka 30 akakumbukwa kwa makubwa aliyowatendea wana Bukinabe. Wanamapinduzi hawafi wanapumzika roho zao zinaishi
Kazikwe nae.Tunapokuwa tunazungumzia Magufuli, ni sawa na kugusia rasilimali adhimu kuliko zote hapa Tanzania na duniani!
SI tumekubaliana kuwa ameshakufa tumuache apumzike??Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.
Bado tunahitaji Rais kama JPM.
Mungu ibariki Tanzania.
Hao ote umetaja huna ushahudi kama JPM alihusika hata siku Moja.Muulize mjane wa Azory,mjane wa Ben Saanane,Tundu Lissu(pigwa risasi za kutosha mchana kweupe eneo na makazi ya viongozi na linalolindwa masaa 24 na CCTV camera zikanyofolewa ili kuficha jaribio la mauwaji) then alipogoma kufa akadhulumia stahiki zake zoteeeee ili akafie mbele huko. Swali la kizushi: HIVI UGOMVI WA PROF ASSAD( CAG ALIYEPITA) NA MAGUFUFULI CHANZO CHAKE NN?
Maneno maneno tu...hata wewe unaweza ukasingiziwa.Pamoja na ubora wa JPM lakin alikuwa na chemvechembe ya dam ya machafuko,, alikuwa mjivuni na mtu aliyeamin katika yeye Tu.
Watu Kama JPM ni hatar Sana kuwapa nafasi za uongoz Kwan ni kuiweka rehani Amani ya nchi.
Bora ugari Kwa sukari kwenye Amani kuliko wali kuku vitani.
Mmmmggh hapana Mimi sio wa level hioNdio maana mnapeana maua yake ? Mnaogopa hadi kulitaja Jina lake,?
Nilichokiandika sio kweli mkuuUna chuki zako binafsi na Magufuli