Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

Unapaniki Nini Sasa Mzee .... We jaza omba uhamisho...... Mi najaza tu task ,subtasks na implementations tu inatosha ...jaza Mzee .... Ongeza juhudi.
 
Haya maswali yanatukatisha tamaa tunaotaka kuhama
 
Hapo lazima ujiongeze mkuu sema mama karuhusu uhamisho wa kuwafata wenza so If you are married na kiambata unacho andika barua upeleke Halamashauri wameruhusiwa kusaini
Fanya hivo hiking kipindi cha kabla ya uchaguzi ndio fursa hiooo

Cc Smart911
Sio rahisi mkuu
Me nataka kujiongeza mkuu, nisaidie channel mkuu
 
Back
Top Bottom