Marcus marcus
Member
- Dec 9, 2023
- 29
- 35
Hakuna watu wenye wazandiki kama watumishi wa utumishi OR,kazi kubwa ni kukwamisha uhamisho,na huu mfumo umeanzishwa kuzuia watu kuhamaMsaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss.
Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani?
Mimi Mwl muuza Kangala