Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mpwayungu ameshakimbia,battle ilimshinda
Ndo nimewapa mwongozo wenyewe wasiseme sijawambia.
Watu wanahama vizuri tu mbona.
Hii ni kweli,tena kuliko kuhangaika na mambo ya system bora utafute mtu umpe hela mambo yaishe harakaWatu wanahama vizuri tu mbona.
Ni kujiongeza tu lo
Hata yeye hajui nini kinaendeleaVipi mkuu ushapata kibali Cha uhamisho?
Mkuu nipe connection hiyo mkuu nitoke huku localNdo nimewapa mwongozo wenyewe wasiseme sijawambia.
Nimepambana nimejua mambo mengi
Nipe channel mkuuWatu wanahama vizuri tu mbona.
Ni kujiongeza tu lo
Hapo lazima ujiongeze mkuu sema mama karuhusu uhamisho wa kuwafata wenza so If you are married na kiambata unacho andika barua upeleke Halamashauri wameruhusiwa kusainiNipe channel mkuu
Sio rahisi mkuuHapo lazima ujiongeze mkuu sema mama karuhusu uhamisho wa kuwafata wenza so If you are married na kiambata unacho andika barua upeleke Halamashauri wameruhusiwa kusaini
Fanya hivo hiking kipindi cha kabla ya uchaguzi ndio fursa hiooo
Cc Smart911