KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Nikuulize kitu. Awamu ya samia imeanza..? Alikua anahitimisha awamu ya 5 ambayo yeye alikua makamu wa raisi. Ni lini tulimpigia samia kura za kuwa raisi yeye kama yeye na mgombea wake wa sasa. Tumia fikra zako kuchanganua hili jambo. Kama anataka kugombea basi chama chao wafuate taratibu zilizowekwa na wao wenyewe. Ja sio kulazimisha.
Mamako kabla ya huu mwaka kuisha atakuwa ameachikaWakuu mpo wazima hapa.
Leo nimewaza tu.
1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake.
3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya chama akaamua kutokemea wenzake wakiumizwa. Sio mbaya kufa kufaana. Ila karma ipo.
4. Kuna mtu anavunja katiba na sheria za nchi hapa nadhani rule of law haipo kabisa Tanzania.
5. Kuna mtu anajiita msajili wa vyama vya siasa nchini kweli. Hivi ni msajili wa vyama au msajili wa mafisiemu..?
6. Kuna mtu anajiita mzalendo 🤣🤣🤣🤣 eti tuwe wazalendo (kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake)
7. Kuna watu wanajiita watu wa ulinzi na usalama wa nchi kumbe ni chawa wa fisiemu.
8. Kuna mtu ni shetani ila ana jipendekeza kwa watumishi njaa ja kkkt
9. Kuna mtu anataka kuifanya nchi kama urithi wa familia yake.
10. Kuna watu ni wapinzani ila wamepiga pin na msajili na mahakama. Mpaka sasa fanyeni muwezalo sheria hazipo wamezivunja wao hamna kosa. Amkeni
11. Nakumbusha tu kila baya litashindwa kutaka kurekebisha katiba kwa sasa ya chama chao cha majizi tena kwa njia ya mtandao haitafanikiwa.
We ni sawa na ngiri pori tu, hujui ht maana ya mgombea mwenzaNikuulize kitu. Awamu ya samia imeanza..? Alikua anahitimisha awamu ya 5 ambayo yeye alikua makamu wa raisi. Ni lini tulimpigia samia kura za kuwa raisi yeye kama yeye na mgombea wake wa sasa. Tumia fikra zako kuchanganua hili jambo. Kama anataka kugombea basi chama chao wafuate taratibu zilizowekwa na wao wenyewe. Ja sio kulazimisha. 🤣🤣🤣🤣 amehitimisha miaka 10 ya utawala wa awamu ya 5 hivyo unataka usemeje tena..?
Kwa maana ingekua kachaguliwa na chama chake akawa mgombea na akaongoza miaka mitano kwenye awamu ya 2 ndani yake hata sumbuliwa na chama chake. Mgombea huyu hakika ni haramu.
Huu ni mtizamo wako. Acha na wengine watoe ya kwao tulinganishe. JPM alikuwa mtendaji na yale aliyoyaanzisha yanajieleza bila kutumia nguvu.Samia anao uwezo mkubwa wa kiuongozi kuliko aliokuwa nao marehemu JPM, ni vile tu jinsia yake dhaifu inamnyima kukubalika.
Samahani naomba kuuliza, hivi ikitokea hiko ulichoongea (siombei, ila nauliza tu kupata ufahamu na mtaniwia radhi ikiwa itamkwaza mtu) Namba moja kurudisha namba kabla ya uchaguzi, Je huyo Makamu wake pia atapewa kumalizia Ngwe ya pili? Sababu ni lazima aapishwe kuwa RaisAwamu ya Samia ilianza tarehe 19 March 2021 siku alipoapishwa ndani ya ikulu, awamu ya tano ilimalizika sio kwa mapenzi yetu sisi wananchi bali kwa mapenzi ya Mungu alipoamua kumchukua hayati JPM.
Awamu ya Samia ilianza pale alipomaliza kula kiapo kisha akaenda kukagua gwaride akiwa na nafasi ya amiri jeshi mkuu.
Ulipompigia kura JPM moja kwa moja ulimpigia mgombea mwenza wake SSH, hili wengi wetu hatulijui pengine ni kwa bahati mbaya au kwa sababu ya kuongozwa na chuki.
Leo Samia ikitokea akaaga dunia Dr Isidory Mpango ataapishwa na kuwa rais wetu wa awamu ya saba, hii awamu ya sita itakuwa imeondoka na Samia kama ile ya tano ilivyoondoka na JPM.
Kahitimisha miaka mitano akiwa makamu ya rais, wakati anaanza kuutumikia umakamu kwa kipindi cha pili cha miaka mitano bosi wake JPM akaaga dunia na yeye akairithi nafasi yake kwa kula kiapo na kukagua gwaride akiwa na sifa ya Commander In Chief.
Hahitaji kuchaguliwa moja kwa moja na chama chake. siku ulipomchagua hayati JPM ulimchagua na yeye pia ndio maana ya running mate.
Chuki zikipungua moyoni mwako utaelewa tu nini kinachoendelea nchini mwako.
Katembee huko mikoani uone ushahidi wa anayoyafanya, ni mengi sana.Huu ni mtizamo wako. Acha na wengine watoe ya kwao tulinganishe. JPM alikuwa mtendaji na yale aliyoyaanzisha yanajieleza bila kutumia nguvu.
Huwezi kuchukua mkimbiaji wa mbio ndefu ashindane na mtembea kwa miguu kilometer 10 kwa speed ile ile wakatoka sawa.
Kuna mmoja ulimi unaweza kudondoka. Kuongoza watu sio kitu kirahisi...maana watakudai maendeleo na mambo kadhaa. Yasipoonekana, lazima watakuchukia.
Usisahau, watanzania wengi wa hali ya kipato chetu wamepata darasa mahususi kwamba, deni letu la Taifa ni dogo kama tutaanza kutumia dola.
Katiba imefuatwa ndio maana wanachama wa CCM hawakutaka kumpinga akiwa katika mchakato wa kuingia awamu yake ya pili ya urais sawa na vile ambavyo hawakuwapinga kina Mkapa, Kikwete na Magufuli.Mbona mnakuwa wagumu kuelewa!
Samia ana nafasi nzuri kabisa kutetea kiti cha urais, kwa mtaji alionao kiaisa.
FUATA KATIBA STUPID!
Naona ulikuwa wa mwisho darasa la saba!Katiba imefuatwa ndio maana wanachama wa CCM hawakutaka kumpinga akiwa katika mchakato wa kuingia awamu yake ya pili ya urais sawa na vile ambavyo hawakuwapinga kina Mkapa, Kikwete na Magufuli.
Wa mwisho wewe usiyezifahamu taratibu na tamaduni za chama tawala.Naona ulikuwa wa mwisho darasa la saba!
Hauna akili.Samia anao uwezo mkubwa wa kiuongozi kuliko aliokuwa nao marehemu JPM, ni vile tu jinsia yake dhaifu inamnyima kukubalika.
Ninyi mmeikuta CCM, sisi toka TANU.Wa mwisho wewe usiyezifahamu taratibu na tamaduni za chama tawala.
Uraisi ni zawadi au kazi?Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.
Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.
Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.
Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.
Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
huyu hangaya atachomoka tu. Mnataka atachomoka hamtak atachomoka. Raia hatumtak akawe kiongoz wa kwao kizimkaz huko si TanzaniaYou useless sperm Samia ameshapitishwa na chama chake kuwa mgombea wao kwa kupigiwa kura na mkutano mkuu na kupata kura 99.8%, sasa takataka km ww ni nani. Tuliza makalio kutuletea huu uharo. Nenda kaharishe huu uvundo. We kibwengo tu.
kwani hajamaliza?,yeye si aliingia kumalizia kipindi kilichokuwepo....think againWakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.
Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.
Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.
Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.
Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Wewe mwenye akili hongera sana.Hauna akili.
Aliingia kwa bahati mbaya baada ya kifo cha JPM. Ukishaapishwa biashara yote ya miaka ya nyuma inakuwa imefutika unaanza mwanzo mpya.kwani hajamaliza?,yeye si aliingia kumalizia kipindi kilichokuwepo....think again
Mpuuzi wewe umeanika ubaguzi unaotusumbua baadhi yetu huku bara. Yale yale ya JPM kuendeleza chato. Akili fulani za kibaguzi.huyu hangaya atachomoka tu. Mnataka atachomoka hamtak atachomoka. Raia hatumtak akawe kiongoz wa kwao kizimkaz huko si Tanzania
Urais ni nafasi ya juu kuliko zote katika JMT. Akishaapishwa inaanza awamu mpya bila ya kujali masuala ya ilani na uteuzi wa baraza la mawaziri.Uraisi ni zawadi au kazi?
Tuseme basi ukiwa raisi unakuwa mtakatifu kuliko wanadamu wengine.
Haijalishi mkuu, unaweza ukawa mzee mwenye uelewa mdogo wa masuala ya kawaida tu.Ninyi mmeikuta CCM, sisi toka TANU.