GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sio ustaarabu na utamaduni wa CCM. Fomu huchukuliwa mara moja tu wakati rais anagombea kwa mara ya kwanza lakini akishakuwa rais kwa miaka mitano au minne kama Samia huwa hawamchukulii fomu wanamuachia amalize yale aliyokwisha kuyaanza.

Wanakuwa na sababu za kwanini hawamchukulii fomu rais anayekwenda kumaliza ngwe ya pili, kuna mengi keshayafanya na yapo nusu ya kukamilishwa hivyo hawataki kuingiza mtu mwingine atakayekuja na sera na mipangilio mipya kabisa na hivyo kuleta sintofahamu na vurugu katika uendeshaji wa nchi.

Kuna majungu anapikiwa Samia na hawa wanasiasa vijana wanaodhani wanao uwezo wa kuwa marais wakati ushahidi ni kwamba vichwa vyao ni vitupu kabisa.
Acha unafiki,

Kuna thread Leo ulikuwa unapinga mkutano kufanyiwa mitandaoni.
 
Machawa wa Samia ni vilaza sana, kaswali kadoga kanakutoa jasho. Basi hapo utakuta umechukua form ya kugombea ubunge ukitegemea uchawa utakubeba. PUMBAFU
Najenga hoja siongozwi na chuki za kipuuzi. Samia anayo haki ya kumaliza kipindi cha pili cha urais wake bila ya mizengwe ya kuwekewa jina jipya la mgombea.
 
Kauli ya jumla jumla ambayo haiwezi kusemwa mahakamani, ushahidi hatuna tunaishia kujichumia dhambi kwa kumsingizia mzee wa Msoga.

Samia pia anao uwezo mkubwa ambao hautazamwi kwa sababu ya jinsia yake na eneo analotoka, she is a good president.
Uchawa unaweza kumfanya mtu ashindwe kufikiri kwa kutumia kichwa baadala ya afikiri kwa masilahi ya tumbo.. wanaosema Remote ipo Msoga unawaona wajinga ?
 
Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.

Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.

Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.

Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.

Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Hebu tuondoleee ujinga wako, mtu wako Wananchi hawamtaki kwanza hajishushi kwao pili anaendeshwa kama roboti na mto Ruvu, tatu kaumiza sana watu halafu hajali chochote kana kwamba Tanzania ni mali ya ccm na ukoo wa mwambao wa Pwani. This time, the interior fire by the folks is very fierce and difficult to withstand the heat.
 
Ona mbusi hii
 
Itapigwa mwezi Oktoba mwaka huu nikiwa hai nitampigia, kipi kinapungua kwenye maisha yako na yangu kwa kutompigia yeye kura mwaka 2021? hukupiga kura mwaka 2020 kumchagua JPM?.

Punguzeni chuki za kitoto hizi.
Sasa ambacho ulikuwa hujamuelewa ni nini? Samia alipaswa kuwa new candidate agombee na wenzie, ila kulazimisha kupita bila kupingwa Kwa sababu ya madaraka haijakaa poa.
 
Sasa ambacho ulikuwa hujamuelewa ni nini? Samia alipaswa kuwa new candidate agombee na wenzie, ila kulazimisha kupita bila kupingwa Kwa sababu ya madaraka haijakaa poa.
Mazingira ya urais wake hayaeleweki kwa sababu yapo tofauti na wote waliomtangulia. Tulikuwa hatujawahi kufiwa na rais aliye ikulu.

Aliingia ikulu kwenda kuziba pengo la hayati JPM hii awamu ya kwanza ikaisha, hii ya pili ni sawa na zingine zozote za marais wanne waliomtangulia.

Ni kitu chepesi lakini nongwa za watanzania zinakataa kuelewa.
 
Hebu tuondoleee ujinga wako, mtu wako Wananchi hawamtaki kwanza hajishushi kwao pili anaendeshwa kama roboti na mto Ruvu, tatu kaumiza sana watu halafu hajali chochote kana kwamba Tanzania ni mali ya ccm na ukoo wa mwambao wa Pwani. This time, the interior fire by the folks is very fierce and difficult to withstand the heat.
Samia 2025 mitano tena.
 
Kipindi chake cha kwanza kilikuwa cha muda gani?
Wananchi hawataki tena kiongozi aliyefunikwa ni kivuli cha majini ya Sheikh Yahaya
1753462736893.png
 
Mazingira ya urais wake hayaeleweki kwa sababu yapo tofauti na wote waliomtangulia. Tulikuwa hatujawahi kufiwa na rais aliye ikulu.

Aliingia ikulu kwenda kuziba pengo la hayati JPM hii awamu ya kwanza ikaisha, hii ya pili ni sawa na zingine zozote za marais wanne waliomtangulia.

Ni kitu chepesi lakini nongwa za watanzania zinakataa kuelewa.
Mkuu Kila kitu tayari kilishapangwa ndio maana alivyokufa Magufuli Kuna wahuni walitaka kutumia mwanya kufanya uhuni ila wakulu wa vyombo vya ulinzi walisimamia katiba, lakini yeye Samia anataka kupindisha katiba Kwa nini?
 
Hawezi kupindisha katiba, miaka yake mitano inamalizika Oktoba na kikatiba na kwa mujibu wa taratibu za CCM anaendelea mpaka 2030.
 
Hawezi kupindisha katiba, miaka yake mitano inamalizika Oktoba na kikatiba na kwa mujibu wa taratibu za CCM anaendelea mpaka 2030.
Mkuu Kwa taratibu za CCM inabidi aombe dhamana Kwa sababu yeye alikaimu tu nafasi isiyo yake na kama wataridhia ndio avikwe taji rasmi sasa
 
Mkuu Kwa taratibu za CCM inabidi aombe dhamana Kwa sababu yeye alikaimu tu nafasi isiyo yake na kama wataridhia ndio avikwe taji rasmi sasa
Rais anaapishwa mkuu, hakukaimu. Hakuna kaimu rais na hili lilishafafanuliwa miaka michache iliyopita.

Ukishaapa inaanza awamu yako wewe uliyeapa haijalishi masuala ya ilani za uchaguzi au baraza la mawaziri kiapo cha urais ndicho kikubwa kuliko vyote nchini.
 
You useless sperm Samia ameshapitishwa na chama chake kuwa mgombea wao kwa kupigiwa kura na mkutano mkuu na kupata kura 99.8%, sasa takataka km ww ni nani. Tuliza makalio kutuletea huu uharo. Nenda kaharishe huu uvundo. We kibwengo tu.
Kwa matusi haya, ni dhahiri unalazimisha hoja.

Jambo la muhimu hapa ni kwamba Ukweli ni kama pembe la ng'ombe....Haufichiki.
Tuupe muda nafasi yake, utaongea!
 
Back
Top Bottom