Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Hawawezi kusema basi kwa aina ya maendeleo yanayokuja, watakuwa ni wajinga hao wananchi wanaosema basi kwa sababu ya chuki za kipuuzi za uzanzibari wake na udini unaotangulizwa mbele.Enzi za ugali wa yanga, bulka nk kwa kufanya kazi za kijamii ndipo unapimiwa bakuli kwa ajili ya familia ya watu saba ama kuvaa makata mbuga (ndala za tairi) na kwenda kununua bidhaa RTC (maduka ya biashara ya mkoa) yaliendana na mfumo wa chama kimoja, sera ya ujamaa na kujitegemea kabla mabadiliko mfumo ya ubepari aliyoleta Mwinyi na Mkapa.
Aliyepo ka sasa hapana wananchi wanasema 'basi'
Mkuu Samia anafanya mapinduzi ya kiuchumi ambayo hayajawahi kufanyika nchini.