GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.

Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.

Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.

Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.

Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Samia Alichaguliwa Lini Kuwa Rais??
Mbona unasema Wanawaachia wamalizie Ngwe?
Anayeachiwa amalizie Ngwe ni yule aliyechaguliwa na Kupata Dhamana Ya wananchi
 
Samia Alichaguliwa Lini Kuwa Rais??
Mbona unasema Wanawaachia wamalizie Ngwe?
Anayeachiwa amalizie Ngwe ni yule aliyechaguliwa na Kupata Dhamana Ya wananchi
Ulipomchagua JPM mwaka 2015 na 2020 ulimchagua pia Samia akiwa mgombea mwenza. Uchaguzi ulifanyika Oktoba 2020 ulitaka pia baada ya kifo cha JPM mwezi March 2021 tufanye tena uchaguzi?, vipi kuhusu hizo gharama?.
 
Uwezo wa kuteka kuua na kuuza rasilimali zetu. Ile tv tu remote control yule boss wake aliye mtambulisha. Hana uwezo zaidi ya tamaa na udhaifu wa chama na taifa kwa ujumla
Sio kila utekaji serikali inahusika, wengine wanagombana na wapenzi wao na wanauana kwa sababu ya wivu wa mapenzi na visasi vya kukomoana.

Wengine wanadhulumiana kwenye biashara zao na wanaamua kutoana roho ili kutuliza hasira.
 
Hakuna awamu iliyo anza 2021 mkuu. Tume iliitisha uchaguzi..?
Uchaguzi ulianza 2020 so huyu ni viti maalum tu
Awamu ilianza 2021 baada ya kifo cha JPM, JPM angekuwa hai mpaka muda huu Samia angendelea na umakamu wake.

Mgombea mwenza ni rais wa akiba inapotokea yule aliyepigiwa kura akashindwa kuendelea na urais, pengine kwa kifo, pengine kwa maradhi yenye kuhitaji mtu akae pembeni kama vile kiharusi.
 
Ndugu,

Hatujawahi kufiwa na Rais akiwa mamlakani,

Hivyo utaratibu wa kuruhusu watu kuchukua fomu ufanyike.

Na kwa ustaarabu, alipaswa kutogombea sababu aliyeanza naye safari alifariki.


Kulazimisha mambo SI jambo jema.
Umeandika usichokielewa.
 
Kumsemea mwanaume mwenzako ni dalili za wewe kupumuliwa mada haina hata ukaribu na Lissu ila una muingiza ili ujijengeee tu upumbavu wako. Huwezi mfananisha lissu na hii takatakayenu. Yaani LISSU na hiii TV inayo tumia msoga remote.
Narudia, pole sana kwa maumivu ya kisaikolojia unayopatiwa na ccm.....hiyo ndo ccm. Unazungumzia wanasiasa, nazungumzia wanasiasa hao hao kama wewe wenye matamanio yanayofanaba unatukana. Kama sio kuvurugwa Huku ni nini?!!!
Au ulitaka nimuongelee mwanamke mwenzio tu, Dr Samia?!!!
 
Narudia, pole sana kwa maumivu ya kisaikolojia unayopatiwa na ccm.....hiyo ndo ccm. Unazungumzia wanasiasa, nazungumzia wanasiasa hao hao kama wewe wenye matamanio yanayofanaba unatukana. Kama sio kuvurugwa Huku ni nini?!!!
Au ulitaka nimuongelee mwanamke mwenzio tu, Dr Samia?!!!
Wapi nimekutukana ..? Acha zako ukija kimatusi unapokelewa ivo ivo. Sijaanza kumtusi mtu mpaka aanze yeye. Vita ni vita muraa
 
Awamu ya sita.
Uchaguzi wa Kubadilisha Awamu Ulifanyika Lini?
Maana Mimi.ninachojua Magufuli alifariki Akiwa Rais wa Awaku ya Uchaguzi ya Tano na Hata alipofariki bado.serkali ilikuwa ile ile na Waziri Mkuu Bado alikuwa Huyo huyo..

Ila Ilikuwa ni Serkali ya Awamu ya Tano yenye Rais wa Sita..
Awamu Hubadilishwa Kw Uchaguzi
 
Nikuulize kitu. Awamu ya samia imeanza..? Alikua anahitimisha awamu ya 5 ambayo yeye alikua makamu wa raisi. Ni lini tulimpigia samia kura za kuwa raisi yeye kama yeye na mgombea wake wa sasa. Tumia fikra zako kuchanganua hili jambo. Kama anataka kugombea basi chama chao wafuate taratibu zilizowekwa na wao wenyewe. Ja sio kulazimisha. 🤣🤣🤣🤣 amehitimisha miaka 10 ya utawala wa awamu ya 5 hivyo unataka usemeje tena..?
Kwa maana ingekua kachaguliwa na chama chake akawa mgombea na akaongoza miaka mitano kwenye awamu ya 2 ndani yake hata sumbuliwa na chama chake. Mgombea huyu hakika ni haramu.

Huyo Rais ana jambo baya sana anawaza kulifanya kwa watanganyika .
Kwa mtu mwema kabisa kwa hali ya sasa asingethunutu kung'ang'ania hiyo nafasi .
Ni wazi kuwa kuna mpasuko mkubwa sana wa kisasa nchini . Zaidi ya theluthi mbili ya Watanganyika hawamtaki kabisa . Yaani wanamchukia kwa chuki kubwa sana . Yaani ni kama vile watu wanavyochukia mchawi lakini wanaogipa uchawi wake hivyo hawana cha kumfanya .

Lakini pia kuna moasuko mkubwa sana ndani ya Chama chake mwenyewe .Watu ndani ya chama chake wanakaa kimya kwa hofu na kukosa nafasi na maslahi kwa sababu katiba bado inampa nguvu kubwa kuliko Mungu . Yaani mtu anaweza akamkosoa Mungu kwa wazi kabisa akaishi salama bila Malaika kumwadhibu au kumtesa au kumuua lakni kumkosa Samia ni Kosa kubwa sana mpaka viongizi maslahi wa dini wanamuogopa Samia kuliko Mungu muumba wa vyote . Ndio maana hata waislam ambao kwa Maelekezo ya dini yao na hata Dini ya kikrsto na mila za jadi na tamaduni za kiafrika na Machifu wote ni haramu kwa Mwanamke kuwa Juu ya wanaume wote katika kila kitu mpaka katika kusimamia rasilimali na utawala wa nchi yote lakni wote wameamua kushangilia na kumfananisha na manabii na hata kumsifu kwa sifa za kumweka juu ya roho za wanadam. Bila shaka kama Mungu muumba stakaa kimya hizi dini zitadharaulika sana na tutakua na kizazi kinachowaabudu watawala kama miungu kama enzi za firauni .
Hakika ushindi wa Samia utakua ni anguko la Mungu muumba na Samia atakua ni juu ya kila kiumbe hapa Tanganyika wakati hajaumba hata kuku wa broiler na mayai ya kisasa zaidi ya kuwekwa na kundi la mafisadi walafi na mabeberu ili aendeleze mpango wa Waarabu na wazungu kunyonya watu na kujilimbikizia mali bila kujali kuwa wapo binadamu wengine wanaohitaji hata mlo mmoja kwa siku kwa kutumia rasilimali alizoziumba Mungu.
Hakika Nchi hii imeingia najisi na lawama kubwa kwa kuweka watawala wanaojikweza kama miungu watu . Laana ya damu za waliopigania uhuru wa nchi hii iwe juu ya Madhalimu na udhalimu wao na iko siku watapotea na familia zao watakuwa wakimbizi katika nchi za ugenini .
Ni aibu Dr. Samia kung'ang'ania urais kwenye nchi ambayo watu wa dini Mbili kubwa wanaonyesha wazi kugawanyika kisiasa . Dini yake hawaamini katika Haki kama yeye bali wanaamini katika kuwakata watu vichwa kama suluhu ya kudumisha amani . Yaani Baadhi ya Watu wa dini yake wanasimama na dhulma kuunga mkono mateso ya wale walioonewa tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi. Yaani mbele ya Rais Shekhe anasimama na kusema kuwa Serikali iwakate vichwa Viongozi wanaogombea uraisi kwa kuomba haki itendeke halafu Samia anakaa kimya na kudhani kuwa ndio njia sahihi ya kukaa madarakani .
Kundi lingine la dini linasimaa kudai haki kama njia ya kujenga jamii yenye amani na upendo kuliko kutumia vitisho na mauaji kulinda maslahi na vyeo badala ya ushawishi wa kisiasa na kisera . Kundi hili la dini ya pili limewekwewa vikwazo vya kuabudu na vitusho na kwa hofu kubwa wanaishi kama vile wapo Korea Kaskazini au Afghanistan.

Hii sio sawa kwa Dr. Samia kung'ang'ania madaraka wakati amepata bahati kubwa sana kuwa makamu wa rais miaka 6 na Rais miaka 5 . Mungu aliyeruhusu Magufuli aondoke na kumwachia Yeye kwa muda ilikua ni ile aongoze katika njia za uadilifu na Haki na utu na kuwapa wanadamu wote fursa sawa katika siasa ,uchumi na kijamii ikiwemo haki ya kuishi na kutendewa haki.
Cha ajabu Dr.Samia amekua mbaya zaidi huku akiuza na kugawa rasilimali zote za nchi kwa wageni na dili kupigwa kila mahali huku serikali yake ikiwa inafuja fedha za umma kwa lengo la kupata fedha za rushwa ya uchaguzi.

Kuna chuki na moasuko wa wazi wa Wazanzubar kufurahia Watanganyika kuuawa na kupotea kama vile Samia amekuja kulipa kisasi kwa Wazanzibari waliokua wanauana wenyewe na kumwagiana tindikali kwa sababu ya chuki zao za kisiasa tangu Enzi za mapinduzi ya kumtoa Sulatani . Yaani chuki kubwa ya Wazanzibari kwa Lisu hatujui inatoka wapi wakati madhila yote waliyoyapata Wazanzibari wakati wa Uchaguzi wa 1995 ,2000 ,2005 na 2015 yalifanywa na serikali ya CCM Chama cha Rais Samia na yeye akiwa ni kati ya viongozi wa chama wakati Lisu hajawahi kuwa Katika serikali ya CCM kuamuru vyombo vya dola kuwaua Wazanzibari.
Hapo ni wazi kuwa Wazanzibari kuwachukia Chadema ni kuweka mpasuko kwa sababu ya fedha anazigawa Samia kwa Wazanzbar lakni sio haki kabisa .

Shina la maovu yote ulimwenguni ni watu kupenda sana fedha . Samia anatumia fedha kama silaha ya kuwanyamazisha watu.

Masuko mwangne ni wa Tanzania na nchi za nje ambao ni rafiki wema kama Kenya n.k.
Lakni pia kuifanya Tanzania kuonekana kuwa ni nchi isiyofuata katiba na utawala bora .
Samia amejenga mpasuko kwa Waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu .
Samia amewafanya wasomi wa nchi hii washindwe kutumia elimu zao kuleta maemdeleo badala yake wanataka wao ndio waletewe mapesa mezani kwa kupata teuzi na kula keki ya taifa kwa kusifu na kumwabudu Rais mwenye nguvu ya kutoa riziki kikatiba kama Mungu Muumba .

Katika hali ya mifarakano kama hiyo ni wazi kuwa Samia akishinda uchaguzi ataimarisha na kuongeza mgawanyiko na mpasuko huo kwa hali ya juu zaudi . Hali ya ustawi wa jamii itakua ni mbaya sana huku yeye na familia yake wakiwa wanaishi maisha kama peponi kwa Kodi na Rasilimali za Watanganyika waliuoumbiwa na Mungu.

Ni Muhimu Dr. Samia akakaa pembeni ili kulinusuru Taifa letu ,watu waishi kwa amani ,umoja na mshkiakamano .
 
Back
Top Bottom