Huyo Rais ana jambo baya sana anawaza kulifanya kwa watanganyika .
Kwa mtu mwema kabisa kwa hali ya sasa asingethunutu kung'ang'ania hiyo nafasi .
Ni wazi kuwa kuna mpasuko mkubwa sana wa kisasa nchini . Zaidi ya theluthi mbili ya Watanganyika hawamtaki kabisa . Yaani wanamchukia kwa chuki kubwa sana . Yaani ni kama vile watu wanavyochukia mchawi lakini wanaogipa uchawi wake hivyo hawana cha kumfanya .
Lakini pia kuna moasuko mkubwa sana ndani ya Chama chake mwenyewe .Watu ndani ya chama chake wanakaa kimya kwa hofu na kukosa nafasi na maslahi kwa sababu katiba bado inampa nguvu kubwa kuliko Mungu . Yaani mtu anaweza akamkosoa Mungu kwa wazi kabisa akaishi salama bila Malaika kumwadhibu au kumtesa au kumuua lakni kumkosa Samia ni Kosa kubwa sana mpaka viongizi maslahi wa dini wanamuogopa Samia kuliko Mungu muumba wa vyote . Ndio maana hata waislam ambao kwa Maelekezo ya dini yao na hata Dini ya kikrsto na mila za jadi na tamaduni za kiafrika na Machifu wote ni haramu kwa Mwanamke kuwa Juu ya wanaume wote katika kila kitu mpaka katika kusimamia rasilimali na utawala wa nchi yote lakni wote wameamua kushangilia na kumfananisha na manabii na hata kumsifu kwa sifa za kumweka juu ya roho za wanadam. Bila shaka kama Mungu muumba stakaa kimya hizi dini zitadharaulika sana na tutakua na kizazi kinachowaabudu watawala kama miungu kama enzi za firauni .
Hakika ushindi wa Samia utakua ni anguko la Mungu muumba na Samia atakua ni juu ya kila kiumbe hapa Tanganyika wakati hajaumba hata kuku wa broiler na mayai ya kisasa zaidi ya kuwekwa na kundi la mafisadi walafi na mabeberu ili aendeleze mpango wa Waarabu na wazungu kunyonya watu na kujilimbikizia mali bila kujali kuwa wapo binadamu wengine wanaohitaji hata mlo mmoja kwa siku kwa kutumia rasilimali alizoziumba Mungu.
Hakika Nchi hii imeingia najisi na lawama kubwa kwa kuweka watawala wanaojikweza kama miungu watu . Laana ya damu za waliopigania uhuru wa nchi hii iwe juu ya Madhalimu na udhalimu wao na iko siku watapotea na familia zao watakuwa wakimbizi katika nchi za ugenini .
Ni aibu Dr. Samia kung'ang'ania urais kwenye nchi ambayo watu wa dini Mbili kubwa wanaonyesha wazi kugawanyika kisiasa . Dini yake hawaamini katika Haki kama yeye bali wanaamini katika kuwakata watu vichwa kama suluhu ya kudumisha amani . Yaani Baadhi ya Watu wa dini yake wanasimama na dhulma kuunga mkono mateso ya wale walioonewa tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi. Yaani mbele ya Rais Shekhe anasimama na kusema kuwa Serikali iwakate vichwa Viongozi wanaogombea uraisi kwa kuomba haki itendeke halafu Samia anakaa kimya na kudhani kuwa ndio njia sahihi ya kukaa madarakani .
Kundi lingine la dini linasimaa kudai haki kama njia ya kujenga jamii yenye amani na upendo kuliko kutumia vitisho na mauaji kulinda maslahi na vyeo badala ya ushawishi wa kisiasa na kisera . Kundi hili la dini ya pili limewekwewa vikwazo vya kuabudu na vitusho na kwa hofu kubwa wanaishi kama vile wapo Korea Kaskazini au Afghanistan.
Hii sio sawa kwa Dr. Samia kung'ang'ania madaraka wakati amepata bahati kubwa sana kuwa makamu wa rais miaka 6 na Rais miaka 5 . Mungu aliyeruhusu Magufuli aondoke na kumwachia Yeye kwa muda ilikua ni ile aongoze katika njia za uadilifu na Haki na utu na kuwapa wanadamu wote fursa sawa katika siasa ,uchumi na kijamii ikiwemo haki ya kuishi na kutendewa haki.
Cha ajabu Dr.Samia amekua mbaya zaidi huku akiuza na kugawa rasilimali zote za nchi kwa wageni na dili kupigwa kila mahali huku serikali yake ikiwa inafuja fedha za umma kwa lengo la kupata fedha za rushwa ya uchaguzi.
Kuna chuki na moasuko wa wazi wa Wazanzubar kufurahia Watanganyika kuuawa na kupotea kama vile Samia amekuja kulipa kisasi kwa Wazanzibari waliokua wanauana wenyewe na kumwagiana tindikali kwa sababu ya chuki zao za kisiasa tangu Enzi za mapinduzi ya kumtoa Sulatani . Yaani chuki kubwa ya Wazanzibari kwa Lisu hatujui inatoka wapi wakati madhila yote waliyoyapata Wazanzibari wakati wa Uchaguzi wa 1995 ,2000 ,2005 na 2015 yalifanywa na serikali ya CCM Chama cha Rais Samia na yeye akiwa ni kati ya viongozi wa chama wakati Lisu hajawahi kuwa Katika serikali ya CCM kuamuru vyombo vya dola kuwaua Wazanzibari.
Hapo ni wazi kuwa Wazanzibari kuwachukia Chadema ni kuweka mpasuko kwa sababu ya fedha anazigawa Samia kwa Wazanzbar lakni sio haki kabisa .
Shina la maovu yote ulimwenguni ni watu kupenda sana fedha . Samia anatumia fedha kama silaha ya kuwanyamazisha watu.
Masuko mwangne ni wa Tanzania na nchi za nje ambao ni rafiki wema kama Kenya n.k.
Lakni pia kuifanya Tanzania kuonekana kuwa ni nchi isiyofuata katiba na utawala bora .
Samia amejenga mpasuko kwa Waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu .
Samia amewafanya wasomi wa nchi hii washindwe kutumia elimu zao kuleta maemdeleo badala yake wanataka wao ndio waletewe mapesa mezani kwa kupata teuzi na kula keki ya taifa kwa kusifu na kumwabudu Rais mwenye nguvu ya kutoa riziki kikatiba kama Mungu Muumba .
Katika hali ya mifarakano kama hiyo ni wazi kuwa Samia akishinda uchaguzi ataimarisha na kuongeza mgawanyiko na mpasuko huo kwa hali ya juu zaudi . Hali ya ustawi wa jamii itakua ni mbaya sana huku yeye na familia yake wakiwa wanaishi maisha kama peponi kwa Kodi na Rasilimali za Watanganyika waliuoumbiwa na Mungu.
Ni Muhimu Dr. Samia akakaa pembeni ili kulinusuru Taifa letu ,watu waishi kwa amani ,umoja na mshkiakamano .