Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Anapoapishwa rais awamu inabadilika , haijalishi waziri mkuu jaji mkuu au baraza la mawaziri lipo au limevunjwa.Uchaguzi wa Kubakadilisha Awamu Ulifanyika Lini?
Maana Mimi.ninachojua Magufuli alifariki Akiwa Rais wa Awaku ya Uchaguzi ya Tano na Hata alipofariki bado.serkali ilikuwa ile ile na Waziri Mkuu Bado alikuwa Huyo huyo..
Ila Ilikuwa ni Serkali ya Awamu ya Tano yenye Rais wa Sita..
Awamu Hubadilishwa Kw Uchaguzi
Katiba inampa madaraka makubwa rais, yeye ni mkuu wa serikali ndio maana anahutubia bunge baada tu ya kuapishwa, ni amiri jeshi mkuu ndio maana analikagua jeshi baada ya kuapishwa, ni nembo ya Taifa ndio maana nyuma yake kunakuwa na mwanajeshi kila anapohutubia.