GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe Bado wajinga mpo wengi hivi🤣, mambo ya kawaida nayo hamuwezi kuyaelewa jamani...ndio taifa limejaa watu wa uelewa huu kweli tutasogea??
 
1
2
3
9
KIKWETE mtupuu
 
Kumbe Bado wajinga mpo wengi hivi🤣, mambo ya kawaida nayo hamuwezi kuyaelewa jamani...ndio taifa limejaa watu wa uelewa huu kweli tutasogea??
Wajinga ni hao niliokuwa nawaelimisha kuhusiana na namna SSH asivyostahili kupingwa wakati keshamaliza ngwe moja ya urais wake akisubiri uchaguzi wa 2025.
 
Wajinga ni hao niliokuwa nawaelimisha kuhusiana na namna SSH asivyostahili kupingwa wakati keshamaliza ngwe moja ya urais wake akisubiri uchaguzi wa 2025.
Kweli huyu bibi ilitakiwa apumzike acheze na wajukuu awe anawasimulia maisha yake...ila asiendelee kuwa rais wa JMT, isije nchi ikajuta kuwaamini KE kwa mara nyingine
 
Kweli huyu bibi ilitakiwa apumzike acheze na wajukuu awe anawasimulia maisha yake...ila asiendelee kuwa rais wa JMT, isije nchi ikajuta kuwa namini KE kwa mara nyingine
Uongozi wa juu wa nchi hauangalii jinsia, ni uwezo wa mtu binafsi. Ujerumani iliongozwa na Chancellor mwanamke kwa miaka 15 ikaendelea kuwa juu kiuchumi kuliko nchi zote za Ulaya kwa muda wote aliokuwa kiongozi mtendaji.

Mifano ni mingi sana. Wanawake wanajali na wana maono tofauti na wanaume.
 
Ndugu,

Hatujawahi kufiwa na Rais akiwa mamlakani,

Hivyo utaratibu wa kuruhusu watu kuchukua fomu ufanyike.

Na kwa ustaarabu, alipaswa kutogombea sababu aliyeanza naye safari alifariki.

Kulazimisha mambo SI jambo jema.
 
Hakugombea urais wowote ameirithi nafasi baada ya kifo cha JPM, kama JPM angekuwa hai mpaka muda huu Samia angekuwa anajiandaa kustaafu umakamu wa rais.

Unazijua gharama za kuandaa uchaguzi wa rais kwa majimbo yote ya uchaguzi Tanzania nzima?. Punguzeni porojo wakati mwingine!.
 
Sawa, ila kwa nchi yetu Bado sana....Bado. mwanamke anayezaliwa ardhi hii yetu Bado hawezi ...ndio maana zee lile linacheza fursa ya kuongoza zaidi likiwa limestaafu...Kenua Kenua meno baki bencha kwenye tawala za wengine😋
 
Umeulizwa ikiwa Leo Mpango anakuwa Rais kwa sababu mbalimbali,

Je, kwenye uchaguzi ndani ya chama, watazuia wengine kuchukua fomu?
 
Kwa hiyo mlifanya mapinduzi baridi ili mpite kirahisi siyo?!
Kadri siku zinavyoendelea ndivyo mnavyozidi kutufanya tuwahisi vibaya kwamba huenda anahusika na kifo cha mtangulizi wake, maana si kwa mauza uza haya yanayoendelea.
 
Ndugu,

Hatujawahi kufiwa na Rais akiwa mamlakani,

Hivyo utaratibu wa kuruhusu watu kuchukua fomu ufanyike.

Na kwa ustaarabu, alipaswa kutogombea sababu aliyeanza naye safari alifariki.

Kulazimisha mambo SI jambo jema.
Kama alivyofanya yule Rais wa mpito wa Namibia.
Ofcourse hii inaondoa picha mbaya ya watu kuanza kukuhisi kwamba ulihusika na kifo cha mtangulizi wako ili ushike uongozi kirahisi.
Busara ilikuwa ni kumwachia mwingine.
Nafikiria hiki kipengele kiwekwe kwenye Katiba mpya, kwamba endapo Rais akifia madarakani, basi makamu wake hatoruhusiwa kugombea baada ya kipindi cha mpito.
 
Kwawahiyo unataka kusema kama rais akifa leo ndugu Mpango atakuwa rais wa awamu ya saba kwa kutawala kwa miezi 3??
 
Sawa, ila kwa nchi yetu Bado sana....Bado. mwanamke anayezaliwa ardhi hii yetu Bado hawezi ...ndio maana zee lile linacheza fursa ya kuongoza zaidi likiwa limestaafu...Kenua Kenua meno baki bencha kwenye tawala za wengine😋
Samia anafanya mengi sana huko bara, ukiwa ni mtu wa kushinda mitandaoni haswa humu mijini huwezi ukaelewa uwezo wake upo vipi.

Samia ni tofauti na Magufuli anavipenda na anaviweza vikao haswa na watu wa mataifa makubwa. JPM aliiweza kazi humu ndani lakini huko nje alikuwa mwepesi tu, akikutana na mazingira yenye kuutaka ushawishi.
 
Kwa hiyo mlifanya mapinduzi baridi ili mpite kirahisi siyo?!
Kadri siku zinavyoendelea ndivyo mnavyozidi kutufanya tuwahisi vibaya kwamba huenda anahusika na kifo cha mtangulizi wake, maana si kwa mauza uza haya yanayoendelea.
Kifo cha mtu mweusi siku zote lazima kihusishwe na mtu mwingine, ni asili yetu ya ushirikina na uchawi ambayo tunazaliwa na kukua nayo.
 
Umeulizwa ikiwa Leo Mpango anakuwa Rais kwa sababu mbalimbali,

Je, kwenye uchaguzi ndani ya chama, watazuia wengine kuchukua fomu?
Sio ustaarabu na utamaduni wa CCM. Fomu huchukuliwa mara moja tu wakati rais anagombea kwa mara ya kwanza lakini akishakuwa rais kwa miaka mitano au minne kama Samia huwa hawamchukulii fomu wanamuachia amalize yale aliyokwisha kuyaanza.

Wanakuwa na sababu za kwanini hawamchukulii fomu rais anayekwenda kumaliza ngwe ya pili, kuna mengi keshayafanya na yapo nusu ya kukamilishwa hivyo hawataki kuingiza mtu mwingine atakayekuja na sera na mipangilio mipya kabisa na hivyo kuleta sintofahamu na vurugu katika uendeshaji wa nchi.

Kuna majungu anapikiwa Samia na hawa wanasiasa vijana wanaodhani wanao uwezo wa kuwa marais wakati ushahidi ni kwamba vichwa vyao ni vitupu kabisa.
 
Wewe ulipiga kura ya urais Kwa Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…