Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,334
- 2,938
Wahindi English yao haina tofauti na mlio wa pikipiki aina ya Vespa
Imagine 😀😀😀See!
How did they come up with that, and not implying “how far” literally 😅
Ha ha mimi naelewa hiyo kwa sasa ni official language na hata bbc huwa wanatangaza programu zao kwa hiyo lughaHivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
View attachment 3578391
Nawa ooh!!"beby i love woh,oga you so sweet oh i gonna tell mama and papa"i gonna buy keke for you nuh
Daah wewe wana misosi mitamu balaa, Wana variety ambayo sijawahi ona bongoWaNigeria wanaongea vibaya sana
Kiufupi Nigeria hakuna kizuri
Asante kwa taarifa
Wachina kidogo wanaelewekaWanaijeria,wahindi,wachina hawa watu wakiongea kiingereza navaa headphones nasikiliza mziki
FufuDaah wewe wana misosi mitamu balaa, Wana variety ambayo sijawahi ona bongo
Kweli wana variety ya vyakula vingi ingawa mi ambacho sijawahi kuelewa ni kitendo cha kuchanganya nyama,samaki,na mboga za majani kwenye mboga moja mfano vegetable soup. Hivi waliwaza nini aisee eti nyama na samaki zipikwe pamoja ? 😂😂😂Daah wewe wana misosi mitamu balaa, Wana variety ambayo sijawahi ona bongo
Trump fala sana 😀😀😀Kuna press moja trump alikua anafanya na waandishi wa habar mwandishi mmoja wa kihindi akamuuliza swali 😂 trump akauliza ameongea Nini 😃
Wanigeria na wahindi ni kazi sana kuwaelewa
Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
View attachment 3578391
Hio vegetable soup ni aina tu Moja wapo Kuna soup aina nyingi mno wako very creative asee,Kweli wana variety ya vyakula vingi ingawa mi ambacho sijawahi kuelewa ni kitendo cha kuchanganya nyama,samaki,na mboga za majani kwenye mboga moja mfano vegetable soup. Hivi waliwaza nini aisee eti nyama na samaki zipikwe pamoja ? 😂😂😂
Yeah najua zipo nyingi,hata ambazo hawachanganyi samaki na nyama. Kinachonishangaza mimi ni huo mchanganyiko wa samaki na nyama kwenye chungu kimoja, halafu na mboga za majani unaweka humohumo aisee.Hio vegetable soup ni aina tu Moja wapo Kuna soup aina nyingi mno wako very creative asee,
Wee ukiizoea hio ndugu yangu acha tuu ni tamu hatari, yaàni kwangu Mimi Naona poa tu kuliko bongo unakula ugali maharage kaaahYeah najua zipo nyingi,hata ambazo hawachanganyi samaki na nyama. Kinachonishangaza mimi ni huo mchanganyiko wa samaki na nyama kwenye chungu kimoja, halafu na mboga za majani unaweka humohumo aisee.
Mimi hiyo sili aisee utanisamehe. Nitakula zile stew nyingine nyingine.Wee ukiizoea hio ndugu yangu acha tuu ni tamu hatari, yaàni kwangu Mimi Naona poa tu kuliko bongo unakula ugali maharage kaaah