Wewe unavyoona ungepigwa Risasi kama zile alizopigwa lissu ungerudi na spirit kama aliyonayo lissu !?Lissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuu
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Ndio inategemeana na ninacho demandWewe unavyoona ungepigwa Risasi kama zile alizopigwa lissu ungerudi na spirit kama aliyonayo lissu !?
Kwani Mandela alipofungwa alikuwa halalamiki usinichekeshe 🤣🤣
Hivi kabisa unahoji kuhusu Hilo , Kuna mtu mwenye Ujasiri wa kuvumilia tukio kama la kupigwa Risasi la lissu then arudi tena na kuendeleza movement zake bila ya kujali familia yake Na hofu juu ya kifo chake wakati tukio lilomfika Alilichungulia kaburi na jeneza lakini wapi hajakata tamaa
Tundulisu ni habari nyingine Mzee acha kabisa ,
Ndio ali battle na jiwe toe to toe.Jasiri gani analialia kulala deathrow.. Mpayukaji tu huyo hana ujasiri wowote. Eti wengine wanasema alibattle na jiwe toe to toe, huyo alikimbilia ubelgiji amekuja kurudi tu awamu hii ya Samia..
Kuonesha injustice sio kulalamika we nae. Watu wengine watafahamje kuwa hiki si sahihi kama haujasema na haujajitumia mwenyewe kama reference?Lissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuu
Alibattle nae wapi baada ya zile risasi na kupona mbona hakurudi kuendeleza harakati? Alirudi tu kwenye uchaguzi wa 2020 na baada ya matokeo kutangazwa akakimbilia ubalozini huku akiwashawishi nyumbu mgomee matokeo wakati yeye yupo kwenye ndege akirejea nchini kwake BelgiumNdio ali battle na jiwe toe to toe.
Unabisha?
Jiwe kwa hasira akambatiza Lissu usaliti feki na kilichotokea kila mtu anakijua.
Licha ya kilichotokea bado Lissu aliendeleza harakati wakati Jiwe wako zamani tumeshamsahau.
Mkuu wamesahau hao kwamba kuna JK NyerereWewe unaongea nini isee kuna watu majasirinkama wazee wa tanu wakiwa na mwalimu Nyerere in 1950s yaani imagine wanaenda kudai uhuru yaani wapewe nchi ambayo hawajaiunda wala kuitengeneza wao.
kuna vitu vinafikirisha sana.
Lissu analalamikaKuonesha injustice sio kulalamika we nae. Watu wengine watafahamje kuwa hiki si sahihi kama haujasema na haujajitumia mwenyewe kama reference?
Shuleni kwenu hata maana ya kulalamika hawakukufundisheni. Mlifundishwa nini sasa? (ofcoz natania kwenye hili)
Jasiri akimbiliii ubelgijiUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Kina Nyerere na wenzake hawakupigania uhuru, walipewa uhuru mezani baada ya kuwakatikia wazunguWapo au walikuwepo kuna watu walipigania ardhi hii lkn nyerere akawa mchoyo akajitangazia pekeyake lkn historia inahukumu pia fatilia