antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Sijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu.
Sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo gani?
Sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo gani?