antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Labda ni watotoSijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo Gani?
Huyo anasumbuliwa na roho mbaya, wivu na ujinga mbali na umaskiniSijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo Gani?
Unamuachiaje Mungu? Huyo mtu katumwa na Mungu, fanya unachoweza kumbaini aliyefanya huo ujinga kisha dili nae. Usiwe mnyonge kupitiliza aisee, maisha hayako hivyo na uache falsafa za kumuachia MunguSijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo Gani?
Lengo lake ujisikie vibaya, so usiridhishe nafsi yake, jifanye kuwa wala hujakwama.nachowaza huyu mtu ana lengo Gani?
Hapana mwanangu. Sicheki kwa uzuri bali kumuonea huruma huyo muovu kwani anapunguza urefu wa maisha yake bila kujuaFather of All mbona unapita ukicheka au ni wewe nini?
Namna lilivyochanwa ni mtu mzima maana pikipiki yangu ni ndefu na imechanwa juu sehemu ya kukalia sidhani kama mtoto anaweza fikia pale juu na mtu inaonesha wazi alidhamiria maana karudia mara nyinginyingiLabda ni watoto
Mimi sio bodaboda ni pikipiki yangu binafsi kwa ajiri ya shughuli zanguHapana mwanangu. Sicheki kwa uzuri bali kumuonea huruma huyo muovu kwani anapunguza urefu wa maisha yake bila kujua
Nilipaki home mkuu nje ya getiUnavyoenda kwa amina usiwe unaenda na pikipiki yako mkuu ipo siku watakuchana wewe
nadhani ni pete ya urembo au key holder ya yule bidada abiria wako wa mwisho wakati anashuka ni kama alikwaruza hiviSijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo Gani?
Sight mirror ndio hizi side mirror?, tukiendesha boda hatujui tofauti.Kumbe bodaboda wanaumiaga hivi ,dah sema wakipitia sightmirror zetu walah!! Wanaona fresh tuu